Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo


Putin wa Tanzania 😀 😀😀 Wamwera nao kwa Misifa kama Wahaya vile.
 
Hilo lipo wazi sana, itoshe kusema kuwa kuna ka element ka state agent
Ila tokea Zito aanzishe ACT nilishakosa mvuto naye kabisa. ACT ilianzishwa kupunguza kura za UKAWA 2015, na sasa inaenda kupunguza kura za CHADEMA 2020.
 
Hahahahah .....mpaka usawa huu hujui utaelekea wapi😁😁 , watu noma ukimwaga mboga wao wanamwaga ugali
 
Uzi unamuhusu Membe wewe unamuongelea Lisu. Acha kupiga ramli 28July sio mbali.
 
Zitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.

Zitto akicheza karata vizuri ndiye KUB ajaye, nami namtakia kila jema kwa hilo. Kwa zanzibar sioni wa kuwazuia ACT mwaka huu kuongoza serikali.
 
Ila tokea Zito aanzishe ACT nilishakosa mvuto naye kabisa. ACT ilianzishwa kupunguza kura za UKAWA 2015, na sasa inaenda kupunguza kura za CHADEMA 2020.
Kwa hiyo mnataka Zito aache kufuata ndoto zake za kisiasa sababu ya kuogopa kupunguza kura za CDM? Kwa nini CDM wasionekane nao wanapunguza kura za ACT? By the way Zito si mlimfukuza na kummwagia matusi juu? Mwacheni ajenge chama chake, nanyi komaeni na chama chenu
 
Lissu ndiye rais wako wa awamu ya sita.

Inaweza kuwa raisi wake na mke wake,
Kwa tanzania ya leo hakuna mtu atamchagua rafiki wa mashoga,
Hapo membe atawaongezea zito wabunge.
Na chadema kutoka kambi ya upinzani bungeni,
Na wao kubembeleza nafasi vivuli za uwaziri kwa chma kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…