Picha Bora ya Rais Samia Iliyogusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya sana club ya Simba, ambayo imejikatia tamaa kabisa mbele ya Yanga Timu ambayo inapendwa na mamilioni ya watanzania na viongozi mbalimbali wakubwa wakubwa . Kwa hakika Yanga na Rais Samia ndio walioshikilia Furaha ya watanzania.

Upande Mwingine Wa pili.Hii ni Miongoni mwa picha Bora kabisa za Rais Samia,ambayo imegusa na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania.picha ambayo imevuta na kuteka hisia za wetu wengi sana hususani wakulima.

Picha ambayo imeonyesha namna Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, alivyodhamiria kwa dhati ya moyo wake kuwainua wakulima wa Nchi hii na kuwaondolea umaskini wa kipato.

Hii ni kwa kutambua kuwa kilimo ndio uti wa mgongo,pumzi ya watanzania, tumaini la wengi na Secta iliyobeba ndoto na hatima ya maisha ya mamilioni ya watanzania.

Ikumbukwe ya kuwa Rais wetu ni mkulima na amefanya kazi ya kilimo kwa Vitendo na siyo kilimo cha mdomoni na kwenye makaratasi.Rais wetu amewahi kulima Mpunga na kuwa na mashamba ya Mpunga Mkoani Morogoro.kwa hiyo anafahamu nini Mkulima anatakiwa kusaidiwa.

Ndio maana tangia kuingia kwake madarakani amekuja kama mkombozi na nuru kwa wakulima ,ndio maana tunaona akitoa mabilioni ya pesa kama Ruzuku,soko zuri kwa mazao yote pamoja na kuweka mazingira mazuri kwa mkulima kunufaika na jasho na kilimo chake badala ya kunyonywa na kubakia katika umaskini mwaka hadi mwaka.

Kama kuna Mkulima atashindwa kuinuka kiuchumi wakati huu wa Rais Samia mpaka 2030 ,basi atakuwa amepoteza bahati na fursa kubwa sana ambayo atakuja kujutia baadaye.
Screenshot_20240808-221659_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Dah, hii picha imenitoa machozi ya furaha.
Imenikumbusha nursery na ile nyimbo ya Old McDonald had a farm😂😂😂
Rais Samia ni Mpango Wa Mungu Mwenyewe na ni chaguo la Mungu Mwenyewe.usishindane na aliyepewa kibali na Mungu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya sana club ya Simba, ambayo imejikatia tamaa kabisa mbele ya Yanga Timu ambayo inapendwa na mamilioni ya watanzania na viongozi mbalimbali wakubwa wakubwa . Kwa hakika Yanga na Rais Samia ndio walioshikilia Furaha ya watanzania.

Upande Mwingine Wa pili.Hii ni Miongoni mwa picha Bora kabisa za Rais Samia,ambayo imegusa na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania.picha ambayo imevuta na kuteka hisia za wetu wengi sana hususani wakulima.

Picha ambayo imeonyesha namna Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, alivyodhamiria kwa dhati ya moyo wake kuwainua wakulima wa Nchi hii na kuwaondolea umaskini wa kipato.

Hii ni kwa kutambua kuwa kilimo ndio uti wa mgongo,pumzi ya watanzania, tumaini la wengi na Secta iliyobeba ndoto na hatima ya maisha ya mamilioni ya watanzania.

Ikumbukwe ya kuwa Rais wetu ni mkulima na amefanya kazi ya kilimo kwa Vitendo na siyo kilimo cha mdomoni na kwenye makaratasi.Rais wetu amewahi kulima Mpunga na kuwa na mashamba ya Mpunga Mkoani Morogoro.kwa hiyo anafahamu nini Mkulima anatakiwa kusaidiwa.

Ndio maana tangia kuingia kwake madarakani amekuja kama mkombozi na nuru kwa wakulima ,ndio maana tunaona akitoa mabilioni ya pesa kama Ruzuku,soko zuri kwa mazao yote pamoja na kuweka mazingira mazuri kwa mkulima kunufaika na jasho na kilimo chake badala ya kunyonywa na kubakia katika umaskini mwaka hadi mwaka.

Kama kuna Mkulima atashindwa kuinuka kiuchumi wakati huu wa Rais Samia mpaka 2030 ,basi atakuwa amepoteza bahati na fursa kubwa sana ambayo atakuja kujutia baadaye.View attachment 3064898

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Politics
 
Sijawahi kuguswa Moyo wangu. Hivi inakuwaje mtu akiguswa Moyo?
 
Back
Top Bottom