Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,233
Reaction score
51,648
Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?

20250329_195605.jpg


20250329_194209.jpg
 
Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?

View attachment 3288523

View attachment 3288524
Mkuu hivi vyombo ni hatari sana.
Hasa njia ya Singida - Kateshi- Babati.
Kuna mteremko mmoja kabla yakuingia mji wa Kateshi huwa inatisha sana.
Unakutana nayo kibao
 
bilashaka hiyo ni tela ya trekta,
ilipaswa kua walau na hata reflekta tu ingawa inaonekana trekta inayovuta tela hiyo ina taaa 🐒
Mtaimbo wa magurudumu una uvimbe wa defferentle. Hivyo inaonyesha ni gari kamili siyo tela
 
Kama ina breki inatosha.
Gari ni tairi na break, mengine ni kuvumiliana.

Ndio maana askari wa barabarani akikagua gari yako akakuta tairi ni kipara kupitiliza, hata rushwa yako atakua mzito kuipokea tofauti kama gari ikiwa na tatizo lingine mfano kutoa moshi.

Angalia hapa dar mfano, daladala nyingi ni chakavu lakini ukiangalia tairi zake utanielewa.
 
Back
Top Bottom