Ndio maana nimesema ni hatari kwa maisha yao hapo wakikutana na mtu katoka zake DRC ni hatari kuliko hatari yenyewe trekta zimeua sana watu kwa ajali za kijinga road.Hawajasafiri hao ni wakulima wanatoka mashambani au wanaenda na wanatembea usiku kuepuka usumbufu wa traffic
Unaipiga full mzee kabla haujapishana nayo kujua ni aina gani ya chombo..Nishagongaga trecta lenye taa 1 nikidhani napishana na toyo mwenzangu kumbe ni ile taa 1 ilinichanganya nikiwa mbali
I lost a family friend kwenye ajali ya trekta, alikuwa amebeba mirunda hana taa wala ishara yoyote msikaji wangu akajaa nyuma alikuwa na gari ndogo Rav4 pale Kikafu,Ndio maana nimesema ni hatari kwa maisha yao hapo wakikutana na mtu katoka zake DRC ni hatari kuliko hatari yenyewe trekta zimeua sana watu kwa ajali za kijinga road.
Daah poleni sana aisee najua hizi mambo maana usiku kuona mirunda ni ngumu sana na jamaa hawaweki reflectors kwenye kitu ambacho hakina taa.I lost a family friend kwenye ajali ya trekta, alikuwa amebeba mirunda hana taa wala ishara yoyote msikaji wangu akajaa nyuma alikuwa na gari ndogo Rav4 pale Kikafu,
Ile mirunda ndio ilimuua, pale kwenye sterling 😞
Yeah! Japo miaka imepita sasa ila haisahauliki.Daah poleni sana aisee najua hizi mambo maana usiku kuona mirunda ni ngumu sana na jamaa hawaweki reflectors kwenye kitu ambacho hakina taa.
Mama! Mama!Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
View attachment 3288523
View attachment 3288524
Kwa sababu halina number plate lakini lipo barabarani, kitu ambacho tumezoea kuona kwenye madifenda ya polisi.Amekujibu mwenye akili za kutosha 👇
Kateshi wanalima Ngano?Wakulima wa Ngano hapo Hanang'
Wanakuwa wametoka mashambani
🖕🏿🖕🏿🖕🏿We matakroo kweli
Kuna mahali nimesema ni ya serikale