YangaHujawatambua hao walioko nyumba ni team gani?
Wafungwa hao, toa location tuwa-tag wahusikaPicha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
View attachment 3288523
View attachment 3288524
Nadhani hapa unazungumzia 'Reflectors' mkuuPicha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
View attachment 3288523
View attachment 3288524
Huo ukanda wanalima sana ngano mkuu.Kateshi wanalima Ngano?
Anhaaa nlisoma kimawenge mkuu kumbe ngano mi nlijua Mpunga.Huo ukanda wanalima sana ngano mkuu.
Anzia Endasaki, Measkron, Nangwa, Katesh na maeneo ya jirani.
Ni wakulima wa ngano
Pamoja sanaAnhaaa nlisoma kimawenge mkuu kumbe ngano mi nlijua Mpunga.
PT la kijani✋✋✋Hawajasafiri hao ni wakulima wanatoka mashambani au wanaenda na wanatembea usiku kuepuka usumbufu wa traffic