Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

Yani bandari Bora apewe muarabu tu
Hizo ni nchi ambazo huyo unaemwita muarabu ana oparated. Mbona hawakumnyima kwa sababu ya uarabu wake?
Je tufukuze na wazungu, wachina na race zingine zilizoingia mikataba na sisi ikiwemo ile ya madini Kwa sababu ya uzungu wao au uchina wao?
 

Attachments

  • Screenshot_20230727-063904.png
    18.9 KB · Views: 3
Hizo ni nchi ambazo huyo unaemwita muarabu ana oparated. Mbona hawakumnyima kwa sababu ya uarabu wake?
Je tufukuze na wazungu, wachina na race zingine zilizoingia mikataba na sisi ikiwemo ile ya madini Kwa sababu ya uzungu wao au uchina wao?
Muarabu alete utulivu pale mana kujuana Juana na unyambilisi ni mkubwa sana.
 
Wewe ni mpuuzi na mbumbumbu kweli kweli! Fuatilia kesi ya Mkataba wa hovyo wa Bandari kule Mbeya Mahakama kuu!
Viongozi wetu vilaza wanavuliwa nguo.
Huna akili kuwaita Wanasheria wanaopinga Mkataba kuwa ni Wanasheria uchwara wakati Taifa limeendelea kushindwa kwenye kesi za Kimataifa na kutakiwa kulipa mabilioni ya shilingi kwa mikataba ya kipumbavu walioingia na wawekezaji!
 
Inaonekana wewe ni mmoja wa wanasheria uchwara mliohongwa na wale wakwepa kodi na ushuru wa bandarini, ili mje kuwatetea wakwepa kodi hao waachwe waendelee kuitafuna bandari yetu miaka na miaka.

Hata hivyo bahati nzuri watanzania wengi tumewashtukia na kuwapuuzeni kama ulivyoona mkutanoni.

Ukiachana na hawa wajinga wachache mnaowatumia mitandaoni hakuna watanzania wengine wenye akili ambao wapo nyuma ya hizi propaganda zenu.

Wale mawakili uchwara wenzio wa Mbeya wanaokuja mahakamani wakinuka gongo midomoni ndo unaamini wataweza kuwalaghai mamilioni ya watanzania waerevu.

Kwanza juzi kwenye mkutano wa Temeke walikuwepo na wenye akili hawakuwashobokea.
 
Pole sana 6 Pack, sasa tunao humu mawakala wa hao wezi waliotaka kumuibia anko wako.

Wengine wanalipwa kwa kazi hiyo na wengine ni bendera tu kazi yao kufuata upepo, wanakuja na hoja nyepesi eti mkataba una matatizo. Wakipewa ufafanuzi wa vifungu vyenye matatizo wanakuja na sababu nyingine ya kuukwepa uwekezaji.
 
Kule Mbeya mtashindwa tu, usijipe moyo. Hamna hoja zozote za maana za kuisumbua mahakama.

Kushindwa huko nje usidhani kila mara ni ujinga wa wanasheria wetu. Kuna wakati wanacheza michezo ya kutaka walipwe malipo ya asilimia kumi zao wanasheria kutokana na hicho tunachodaiwa na makampuni ya wazungu.
 
Hata mimi nilifika hapo mida ya saa kumi nikakuta watu wawili watatu huku hotuba zenyewe zikiwa hazina maana nikaamua kuondoka.
 
Nina imani mwenye akili yeyote iliohuru lazima akubaliane na kile ulichoandika mkuu.

Watanzania sio wajinga na mbumbumbu tena kama walivyodhania
 
Hata mimi nilifika hapo mida ya saa kumi nikakuta watu wawili watatu huku hotuba zenyewe zikiwa hazina maana nikaamua kuondoka.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae angeweza kuhudhuria mkutano wa kihuni, uliojificha katika mgongo wa viongozi wa dini na chama fulani mkuu.
 
Acha hasira kijana, uhalisia unaonesha kuwa wapinga mkataba ni wachache san tena wenye ID kumi kumi totauti mitandaoni.
Hili tu linaonyesha ujuha mkubwa ulio nao. Haya maneno uliyoandika hapa unaona yana maana yoyote ya kumfikirisha mtu mwenye akili timamu?

Takataka nyingine huko chini sina muda wa kupoteza nazo kuzisoma. Hivi ni lini utaacha kujaza takataka humu jamvini? Huchoki kila mara kuleta uchafu humu?
Jaribu siku moja kukaa chini na kutumia vizuri akili zako.
 
Nikushukuru sana kwa taarifa hii mkuu 'Chakaza', nilikuwa sijui mipango ya namna hii inaendelea hadi humu JF.

Sitapoteza muda na kujibishana na takataka hizi tena.
 
Sikulaumu wewe, nawalaumu wale wanaokutumia wewe mitandaoni bila malipo huku wao wakikusanya mamilioni ya shilingi kutoka kwa wale wanaopitisha mizigo yao na biashara zao kila siku pale bandarini bila kulipa kodi.

Wao wameamua kupigania matumbo yao, na wewe unatumiwa kutetea masilahi yao.

Hiyo ndio faida wanayopata wenye akili kubwa pindi wanapokutumia mwenye akili ndogo.
 
Nishamalizana nawe mkuu, sina la ziada la kuongeza katika yale niliyokwishaelza hapo juu.

Ukija na wazo jipya ulilotumia akili kulitambua kuwa ni jamb zuri, nitakusoma na kujadili nawe, lakini siyo takataka hizi unazoleta hapa kwa muda mrefu sasa.
 
Nishamalizana nawe mkuu, sina la ziada la kuongeza katika yale niliyokwishaelza hapo juu.

Ukija na wazo jipya ulilotumia akili kulitambua kuwa ni jamb zuri, nitakusoma na kujadili nawe, lakini siyo takataka hizi unazoleta hapa kwa muda mrefu sasa.
Mbona akili imetumika mkuu, sema wewe hauwezi kuona kwa sababu nimeandika tofauti na kile ambacho kina Lisu na Mbowe wanataka kutulazimisha watanzania wote tuandike.

Anyway nashukuru kwa mchango wako wa mawazo 👍
 
Wakazi wa Dar na viunga vyake tunazijuwa dursa zitazozalishwa na bandari ya kisasa.

Hao DP WORLD wengine hapa tunawangoja kwa hamu. Tuna vijukuu vyetu tunataka violewe Dubai.

Fursa hizo.


Inasikitisha na kuogopesha kama tumefikia hapa kama Taifa.

Kweli tumefikia hatua hata wabibi wanawadangia wajukuu zao? Kweli??

Disgusting [emoji2961]
 
Wanaotaka bandali iendele kua ktk mikono ya waswahili wanatia aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…