Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona ninyanyue tu mstari huo kueleza kwamba umepoteza muda bure kabisa kuandika yote uliyoandika hapo, nami nikisikitikia muda wa kusoma andiko la namna hii.Hii ni dalili kuwa hii pinga pinga ya bandari ni ya mitandaoni tu lakini mitaani na nchini hakuna anaepinga.
Nyie Machawa (PAKA WA LUMUMBA) mna matatizo sana. Isuue siyo kuwa wangapi wanasupoort au hawasupport. Isuue ni je mkataba ni mzuri au mbaya. Na uzuri wake hautakuja kwa ajili ya mikutano ya CCM au ya CDM .... uzuri wa mkataba ni uhalisia. Kwa sasa nchi imegibikwa na kesi kwa ajili ya mikataba mibovu huko nyuma. Inakadiliwa kesi zote zinazoendelea kwa sasa zitalicost Taifa zaidi ya TShs 1.3 Trillion. Umeshaona ni jinsi gani akina Mruma walivyogalagazwa na vitoto huko NY .... Sijui nani aliiloga nchi hii!!Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla,
Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili.
1. Dar es Salaam ndio iliyobeba taaswira halisi ya nchi, ndio maana mkoa huu uliongoza mapambano yote ya kudai uhuru, na mambo mengine mengi ya kiserikali na kijamii yalifanyikia Dar es Salaam, kabla na baada ya uhuru.
2. Dar es Salaam ndio Mkoa uliokusanya makabila yote kutoka mikoa na maeneo mbali mbali ya nchi (kabila langu likiwa moja wapo wa wahamiaji wa Mkoa huu). Hivyo kila linalofanyika mkoa huu linakuwa limegusa kwa kiwango kikubwa mikoa mingine na watu wake kwa ujumla.
Sasa ukiona kiongozi au mtu maarufu anakataliwa katika mkoa wa Dar es Salaam, basi anatakiwa ajitafakari vizuri, kuliko kukimbilia kuwapa vijana vijihela na data za kuja mitandaoni kumsafisha na kutunga propaganda mbalimbali, sababu kuna uwezekano mkubwa wa kukataliwa nchi nzima.
Mwaka 2020 katika kampeni za uchaguzi mkuu, kuna chama kilimsimamisha mgombea kutoka ulaya, kwa kufikiri labda wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla watadanganyika, watetemeke na kumpa kura mgombea huyo. Lakini kumbe hali ikawa tofauti kwa kuanza kupuuzwa na wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla, hivyo kupelekea mgombea huyo kutoka ulaya kuangukia pua katika uchaguzi ule.
Na yeye kwa aibu siku mbili tatu baada ya uchaguzi akakimbilia ulaya kwa kudanganya umma kuwa anasakwa na serikali ili iwe rahisi yeye kupewa hifadhi ya ukimbizi na pia kujitoa katika kashfa ya aibu ya kushindwa uchaguzi.
Watu wenye akili tulijiuliza, kama kweli alitakiwa kuuwawa, kwanini asingeliuwawa wakati wa kampeni, badala yake aje auwawe baada ya uchaguzi, tena uchaguzi ambao yeye ndo ameshindwa!
Hilo likapita, sasa likaja hili la bandari chama hicho kilichoangukia pua Dar katika uchaguzi mkuu, kikalivalia njuga na swala hili wakiamini kuwa lingewabeba katika mkoa huo wenye mamilioni ya watu.
Cha kushangaza, pamoja na kualika viongozi njaa wa dini, wanasheria uchwara na wanasiasa wachumia tumbo kutoka maeneo mbali mbali ya nchi lakini bado wana Dar es Salaam wakaendelea kukiadhibu chama hicho na genge lake bila huruma.
Ndio maana nashauri viongozi wa chama hicho wajitafakari upya kuhusu kuelekeo wao. Kuruhusu wapitisha madawa ya kulevya, wezi, wakwepa kodi na ushuru wa bandari wawatumie katika ajenda zao kwa sababu ya malipo madogo tu yanayoliwa na viongozi wachache wa chama lilikuwa ni kosa la kiufundi.
Pia hii style ya kusambaza vijana wenye ID kumi kumi mitandaoni, kwani katika mkutano huonekana watu na sio wingi wa ID zao. Mfano humu tulitangaziwa mkutano wa bandari pale temeke, masham masham mitandaoni yakawa mengi, lakini siku ilipofika watu hawakujitokeza kama ilivyodhaniwa.
Hii ni dalili kuwa hii pinga pinga ya bandari ni ya mitandaoni tu lakini mitaani na nchini hakuna anaepinga.
View attachment 2699597
Hawa wanapoteza muda tu.Hoja zenyewe kama ndio hizi nani ana haja ya kusikiliza
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chama/Muandaaji wa Mkutano kwa ajili ya kuto elimu ya Mkataba wa Bandari toka mwanzo hadi mwisho sijasikia akisoma au kueleza kifungu kibovu cha mkataba zaidi ya salamu hii kwa watanzania,
View attachment 2699683
Ona wazungu waliotuletea dini jinsi walivyowatesa babu zetu.Bora picha ipi hapa?
![]()
au
![]()
Maswali yako ni ya kijinga sana afu yanayoongozwa na kile ulichomezeshwa na wakwepa kodi wa bandarini.Ni mpumbavu na mpuuzi tu ambaye anaye weza kuuliza swali kama hilo. Hatahivyo mpaka leo hii asilimia 40% ya pato la Taifa linapatikana hapo. Itoshe, Kama kiranja wa Nchi zilizokuwa mstari wa mbele katika Ukombozi wa Mwafrika kusini mwa Sahara, Bandari yetu ndio Iliyopitisha karibia zana nyingi za kivita kuzi komboa Nchi nyingi na hivyo ndio kueema Bandari yetu kupitia Uafrika wetu kufanya mambo ya Maana sana
sio hivyo tuu Tanzania imeweza kufanya uwekezaji mkubwa katika bandari yetu na kuboreha Miundombinu kwa takriban Trillioni 2 Shillingi kwa kupitia Mikopo ambayo Watanzania wana wajibu wa kuyalipa.
Narudia, Ni.mpumbacu na mpuuzi tu anayeweza kuuliza swali kama hilo na kujidhalilisha kwa sentensi hio hio-hiyo inaniambia weqe huna Uzalendo wowote ule.
Ikiwa hata huu Mkataba au mchakato mzima ulikuwa ni wasiri, una uhakika gani kuwa hawajawahi kujitokeza. Haijalishi, TAZARA je au Matamanio ya Raisi wa Rwanda kuachiwa uendeshaji, Umezingatia hayo?
DP world hawatuletei Maendeleo! Hiyo dhana umeitoa wapi? wewe una upunguwani DP world inaleta maendeleo gani hapo Bandarini zaidi ya Kuendesha? Bandari imeshafanyiwa maboresho, usianze uwongo au kuuendelza
Swali zuri tu, Kwani hatuna Makampuni ya Watanzania ambayo tunaweza kuyawezesha halafu wao waajiri hao waarabu?
Weye mdudumizi, usijiondoe Ufahamu. hakuna na wala haitakuja kutokea kwa kampuninyeyote ile kuwaletea maendeleo Watanzania. isitoshe makampuni huwa wanajitafutia maendeleo yao kwanza kabla ya kitu kingine chechote kile....kajidanganye mwenyewe, kha!
Yaani kelele za washamba ndio zimfanye aache. Angekuwa amekataliwa na Serikali na Bunge sawa. Kwanza hata wanajua kuwa Kuna wapiga kelele?DP World ameshachomoa hataki tena hiyo biashara,rudisheni mlungula wa dollar m50
Sijifichi mimi ni CCM na ukifuatilia sana sikubaliani na sera nyingi za CHADEMA na za CCM ila natambua mchango wao CHADEMA kuwa ni mkubwa na wenye umakini na manufaa kwa Taifa letu likija suala la Checks and Balances si hivyo tu Wengi ambao wanaopinga suala hili la Bandari wanatoka kona zote za Tanzania, wewe na genge lako ndio mnaonzaisha ma UZi ya utenganishi kwa lengo la kuhadaa tu.Maswali yako ni ya kijinga sana afu yanayoongozwa na kile ulichomezeshwa na wakwepa kodi wa bandarini.
Hata hivyo propaganda zimeshashindwa, watanzania wengi washachoka kufanywa watumwa wa kifra na wachumia tumbo fulani.
Ndiomaana wakaudharau mkutano ulioitishwa na wachumia tumbo hao.
MKATABA ULE, MKATABA.Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla,
Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili.
1. Dar es Salaam ndio iliyobeba taaswira halisi ya nchi, ndio maana mkoa huu uliongoza mapambano yote ya kudai uhuru, na mambo mengine mengi ya kiserikali na kijamii yalifanyikia Dar es Salaam, kabla na baada ya uhuru.
2. Dar es Salaam ndio Mkoa uliokusanya makabila yote kutoka mikoa na maeneo mbali mbali ya nchi (kabila langu likiwa moja wapo wa wahamiaji wa Mkoa huu). Hivyo kila linalofanyika mkoa huu linakuwa limegusa kwa kiwango kikubwa mikoa mingine na watu wake kwa ujumla.
Sasa ukiona kiongozi au mtu maarufu anakataliwa katika mkoa wa Dar es Salaam, basi anatakiwa ajitafakari vizuri, kuliko kukimbilia kuwapa vijana vijihela na data za kuja mitandaoni kumsafisha na kutunga propaganda mbalimbali, sababu kuna uwezekano mkubwa wa kukataliwa nchi nzima.
Mwaka 2020 katika kampeni za uchaguzi mkuu, kuna chama kilimsimamisha mgombea kutoka ulaya, kwa kufikiri labda wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla watadanganyika, watetemeke na kumpa kura mgombea huyo. Lakini kumbe hali ikawa tofauti kwa kuanza kupuuzwa na wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla, hivyo kupelekea mgombea huyo kutoka ulaya kuangukia pua katika uchaguzi ule.
Na yeye kwa aibu siku mbili tatu baada ya uchaguzi akakimbilia ulaya kwa kudanganya umma kuwa anasakwa na serikali ili iwe rahisi yeye kupewa hifadhi ya ukimbizi na pia kujitoa katika kashfa ya aibu ya kushindwa uchaguzi.
Watu wenye akili tulijiuliza, kama kweli alitakiwa kuuwawa, kwanini asingeliuwawa wakati wa kampeni, badala yake aje auwawe baada ya uchaguzi, tena uchaguzi ambao yeye ndo ameshindwa!
Hilo likapita, sasa likaja hili la bandari chama hicho kilichoangukia pua Dar katika uchaguzi mkuu, kikalivalia njuga na swala hili wakiamini kuwa lingewabeba katika mkoa huo wenye mamilioni ya watu.
Cha kushangaza, pamoja na kualika viongozi njaa wa dini, wanasheria uchwara na wanasiasa wachumia tumbo kutoka maeneo mbali mbali ya nchi lakini bado wana Dar es Salaam wakaendelea kukiadhibu chama hicho na genge lake bila huruma.
Ndio maana nashauri viongozi wa chama hicho wajitafakari upya kuhusu kuelekeo wao. Kuruhusu wapitisha madawa ya kulevya, wezi, wakwepa kodi na ushuru wa bandari wawatumie katika ajenda zao kwa sababu ya malipo madogo tu yanayoliwa na viongozi wachache wa chama lilikuwa ni kosa la kiufundi.
Pia hii style ya kusambaza vijana wenye ID kumi kumi mitandaoni, kwani katika mkutano huonekana watu na sio wingi wa ID zao. Mfano humu tulitangaziwa mkutano wa bandari pale temeke, masham masham mitandaoni yakawa mengi, lakini siku ilipofika watu hawakujitokeza kama ilivyodhaniwa.
Hii ni dalili kuwa hii pinga pinga ya bandari ni ya mitandaoni tu lakini mitaani na nchini hakuna anaepinga.
View attachment 2699597
MKATABA...Utapindisha na Kupindisha kuwa suala hili ni la CHADEMA peke yake. La hasha, ni suala la Watanganyika
Sijifichi mimi ni CCM na ukifuatilia sana sikubaliani na sera nyingi za CHADEMA na za CCM ila natambua mchango wao CHADEMA kuwa ni mkubwa na wenye umakini na manufaa kwa Taifa letu likija suala la Checks and Balances si hivyo tu Wengi ambao wanaopinga suala hili la Bandari wanatoka kona zote za Tanzania, wewe na genge lako ndio mnaonzaisha ma UZi ya utenganishi kwa lengo la kuhadaa tu.
Hachaguliki huyo 2025
Only clever people ndo wataiona fursa ya dp worldKuna mtu amenambia DP World wakishaanza kazi wataleta vichwa vya trucks (tractor) 300 na trailers 1,000 na kuwako pesha transporters wadogo wadogo bila riba ili mizigo yao ifike kwa wateja wao kwa wakati.
Hii ni fursa kubwa sana.
Kweli kbs mkuu na mkutano wa temeke umewaacha uchi wachumia tumho wale.Wapinga Bandari wako mitandaoni tu
Hatujakataa mwekezaji Wala hatuna shaka na Dp world sisi serikali irekebishe mkataba mwekezaji afanye KAZI ila tatizo la mizigo kuwama bandarini liko TRA na mabenk kufanya kazi mwisho saa kumi hata hao Dp wakishusha meli Tano kwa siku shida Iko pale pale barabara vinyuu Boda zetu mfano tunduma malori yanakaa wiki kwenye foleniNdiomana serikali imeamua kuwachinjia mbali wezi, wabadhilifu na wavivu wote wa bandarini kwa kuwaletea watu wapya ambao wqtakuja kutokomeza kabisa wizi, uzembe na ujinga pale bandarini.
Mwenyekiti ashahongwa mamilioni yake, sasa anamuona kila mtanzania ni mpumbavu including chawa wake 🤣🤣🤣Hoja zenyewe kama ndio hizi nani ana haja ya kusikiliza
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chama/Muandaaji wa Mkutano kwa ajili ya kuto elimu ya Mkataba wa Bandari toka mwanzo hadi mwisho sijasikia akisoma au kueleza kifungu kibovu cha mkataba zaidi ya salamu hii kwa watanzania,
View attachment 2699683
Hao wezi ni zao la chama gani tunachoitaji watanganyika ni mkataba ulekebishwe vifungu vyakeBandarini pale ni wizi mtupu. Usione watu wanapinga ujio wa DP world ukafikiri ni wazalendo. Ukweli ni kwamba wanaopinga mkataba wengi ni wale wezi wa bandarini, wapitisha madawa ya kulevya na vishoka.
Angalau wewe umeandika comment yenye kueleweka na kuandika vitu vinavyoweza kurekebishika.Hatujakataa mwekezaji Wala hatuna shaka na Dp world sisi serikali irekebishe mkataba mwekezaji afanye KAZI ila tatizo la mizigo kuwama bandarini liko TRA na mabenk kufanya kazi mwisho saa kumi hata hao Dp wakishusha meli Tano kwa siku shida Iko pale pale barabara vinyuu Boda zetu mfano tunduma malori yanakaa wiki kwenye foleni
Weka sasa huo mkataba hapa ili na sisi tuone hizo sehemu zinazohitaji kurekebishwa.Hao wezi ni zao la chama gani tunachoitaji watanganyika ni mkataba ulekebishwe vifungu vyake