Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pga na picha mkutano wa chongolo leo kigoma na kanjanja mwezake jelly slaa...Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla,
Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili.
1. Dar es Salaam ndio iliyobeba taaswira halisi ya nchi, ndio maana mkoa huu uliongoza mapambano yote ya kudai uhuru, na mambo mengine mengi ya kiserikali na kijamii yalifanyikia Dar es Salaam, kabla na baada ya uhuru.
2. Dar es Salaam ndio Mkoa uliokusanya makabila yote kutoka mikoa na maeneo mbali mbali ya nchi (kabila langu likiwa moja wapo wa wahamiaji wa Mkoa huu). Hivyo kila linalofanyika mkoa huu linakuwa limegusa kwa kiwango kikubwa mikoa mingine na watu wake kwa ujumla.
Sasa ukiona kiongozi au mtu maarufu anakataliwa katika mkoa wa Dar es Salaam, basi anatakiwa ajitafakari vizuri, kuliko kukimbilia kuwapa vijana vijihela na data za kuja mitandaoni kumsafisha na kutunga propaganda mbalimbali, sababu kuna uwezekano mkubwa wa kukataliwa nchi nzima.
Mwaka 2020 katika kampeni za uchaguzi mkuu, kuna chama kilimsimamisha mgombea kutoka ulaya, kwa kufikiri labda wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla watadanganyika, watetemeke na kumpa kura mgombea huyo. Lakini kumbe hali ikawa tofauti kwa kuanza kupuuzwa na wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla, hivyo kupelekea mgombea huyo kutoka ulaya kuangukia pua katika uchaguzi ule.
Na yeye kwa aibu siku mbili tatu baada ya uchaguzi akakimbilia ulaya kwa kudanganya umma kuwa anasakwa na serikali ili iwe rahisi yeye kupewa hifadhi ya ukimbizi na pia kujitoa katika kashfa ya aibu ya kushindwa uchaguzi.
Watu wenye akili tulijiuliza, kama kweli alitakiwa kuuwawa, kwanini asingeliuwawa wakati wa kampeni, badala yake aje auwawe baada ya uchaguzi, tena uchaguzi ambao yeye ndo ameshindwa!
Hilo likapita, sasa likaja hili la bandari chama hicho kilichoangukia pua Dar katika uchaguzi mkuu, kikalivalia njuga na swala hili wakiamini kuwa lingewabeba katika mkoa huo wenye mamilioni ya watu.
Cha kushangaza, pamoja na kualika viongozi njaa wa dini, wanasheria uchwara na wanasiasa wachumia tumbo kutoka maeneo mbali mbali ya nchi lakini bado wana Dar es Salaam wakaendelea kukiadhibu chama hicho na genge lake bila huruma.
Ndio maana nashauri viongozi wa chama hicho wajitafakari upya kuhusu kuelekeo wao. Kuruhusu wapitisha madawa ya kulevya, wezi, wakwepa kodi na ushuru wa bandari wawatumie katika ajenda zao kwa sababu ya malipo madogo tu yanayoliwa na viongozi wachache wa chama lilikuwa ni kosa la kiufundi.
Pia hii style ya kusambaza vijana wenye ID kumi kumi mitandaoni, kwani katika mkutano huonekana watu na sio wingi wa ID zao. Mfano humu tulitangaziwa mkutano wa bandari pale temeke, masham masham mitandaoni yakawa mengi, lakini siku ilipofika watu hawakujitokeza kama ilivyodhaniwa.
Hii ni dalili kuwa hii pinga pinga ya bandari ni ya mitandaoni tu lakini mitaani na nchini hakuna anaepinga.
View attachment 2699597
Promotion imesitishwa kwa sababu waliokuwa wakwepesha vitu bandarini na kuja kuvifanyia promotion mitaani hawajui hatma yao ya kesho au keshokutwa.Nakwambia, hii rasharasha tu, hata kazi za DP-WORLD hazijaanza rasmi, vitu vya "polomosheni" siku hizi havionekani mitaani kwetu.
Ndoto ni noma aisee. Mtu analala anaota yupo mtoni anatengeneza madola, akija kushtuka anajikuta amelala barazani kwa shemeji yake hahahaha.....Hahaha, mjukuu wangu siku moja kanizushia ugomvi alipoamka. Anasema kapewa minoti na mama'ke imejaa mifuko yote, nimrudishie.
Nimelipa deni wiki nzima, kila siku buku.
Hivi hata kama unaishi kijijini ndo picha niliyokuwekea pia hauioni.Acha unaa na fitina chawa wa🍀. watanzania ni waelewa na waungwana.Ila usisahau ahadi yenu feki,Kuwa fitina kwenu mwiko,na pia mnasema rushwa ni adui wa haki,isije Kuwa mengi ya mitazamo yako inaongozwa kwa nguvu ya mlungulatu,ili kuwaandama wazalendo wa kweli,na kuwaomba mafisadi🤔
Mahakamani pia.....acha ujuha.Wapinga Bandari wako mitandaoni tu
Mtu kakuambia?.... 🙂Kuna mtu amenambia DP World wakishaanza kazi wataleta vichwa vya trucks (tractor) 300 na trailers 1,000 na kuwako pesha transporters wadogo wadogo bila riba ili mizigo yao ifike kwa wateja wao kwa wakati.
Hii ni fursa kubwa sana.
Ubarikiwe mkuu, haya mambo kama wenye akili tukiacha kuja kueleza ukweli humu mitandaoni, basi kuna uwezekano wa wanasiasa uchwara kutumia ukimya wetu kusambaza sumu za propaganda zao kwa faida zao na watoto wao.Wewe waonyesha ni msomi wa hali ya juu.Unatuelezea,na kukuelewa ki urahisi sana.Mengi ilikuwa siyajui,lakini nimeyajua kupitia uzi huu wako.
Ndio maana yake. Kwanini aje "Wakuja" agawe kwa Wajomba? Hao Malawi Zambia na Rwanda Na uhakika kwa pamoja wako tayari kuchangishana kusimamia na kuendesha Bandari kwa kumtumia Mwafrika mwenzake na sio Mwarabu, wanajua Mwarabu kuushika mwambao ni hatari kwa usalama wa mataifa yao.Mnahitaji bandari??
Unahitaji vipi kitu ambacho unacho? Je Malawi, Zambia au Rwanda ambao hawana bandari nao wasemaje?
Huwo ni Uwongo.Bandarini pale ni wizi mtupu. Usione watu wanapinga ujio wa DP world ukafikiri ni wazalendo. Ukweli ni kwamba wanaopinga mkataba wengi ni wale wezi wa bandarini, wapitisha madawa ya kulevya na vishoka.
Nina uhakika mtoto wa Lisu huko ulaya akisoma post za aina hii huwa anacheka sana kwa jinsi baba yake alivyofanikiwa kuzitawala na kuzimiliki akili za watoto wa wenzake.Hii dunia ina wajinga wengi sana hvi mungu kwanini usikifutilie mbali kizazi hiki cha ovyo
Sisi tnataka mkataba uwe wazi hatujakata mambo mengne hayo
Mzimu wa nyerere pia huko uliko unashanga hzo akili zako za comeNina uhakika mtoto wa Lisu huko ulaya akisoma post za aina hii huwa anacheka sana kwa jinsi baba yake alivyofanikiwa kuzitawala na kuzimiliki akili za watoto wa wenzake.
Wewe unamhusisha Mungu na kutamani kizazi kiangamizwe huku mtoto wa Lisu akiendelea kuomba wajinga muongezeke ili baba yake aendelee kuwatumia kwa faida yake na familia yake.
Toka 1961 hadi leo mwafrika ndio alikuwa anaimiliki hiyo bandari, je ameshafanya kipi cha maana?Ndio maana yake. Kwanini aje "Wakuja" agawe kwa Wajomba? Hao Malawi Zambia na Rwanda Na uhakika kwa pamoja wako tayari kuchangishana kusimamia na kuendesha Bandari kwa kumtumia Mwafrika mwenzake na sio Mwarabu, wanajua Mwarabu kuushika mwambao ni hatari kwa usalama wa mataifa yao.
Ni mpumbavu na mpuuzi tu ambaye anaye weza kuuliza swali kama hilo. Hatahivyo mpaka leo hii asilimia 40% ya pato la Taifa linapatikana hapo. Itoshe, Kama kiranja wa Nchi zilizokuwa mstari wa mbele katika Ukombozi wa Mwafrika kusini mwa Sahara, Bandari yetu ndio Iliyopitisha karibia zana nyingi za kivita kuzi komboa Nchi nyingi na hivyo ndio kueema Bandari yetu kupitia Uafrika wetu kufanya mambo ya Maana sanaToka 1961 hadi leo mwafrika ndio alikuwa anaimiliki hiyo bandari, je ameshafanya kipi cha maana?
Ikiwa hata huu Mkataba au mchakato mzima ulikuwa ni wasiri, una uhakika gani kuwa hawajawahi kujitokeza. Haijalishi, TAZARA je au Matamanio ya Raisi wa Rwanda kuachiwa uendeshaji, Umezingatia hayo?Je hao waafrika wenzetu Malawi, Zambia nk kwanini hawakujitokeza kuomba waendeshe bandari?
DP world hawatuletei Maendeleo! Hiyo dhana umeitoa wapi? wewe una upunguwani DP world inaleta maendeleo gani hapo Bandarini zaidi ya Kuendesha? Bandari imeshafanyiwa maboresho, usianze uwongo au kuuendelzaJe tupinge dp world kutuletea maendeleo kwa sababu ya kutokuwa waafrika wenzetu?
Swali zuri tu, Kwani hatuna Makampuni ya Watanzania ambayo tunaweza kuyawezesha halafu wao waajiri hao waarabu?Yani tuanze kuendesha mambo kwa kuzingatia jografia na sio uwezo wa mtu au kampuni husika katika kuleta maendeleo?