Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

watu wa karibu na nani?
kwanza haipendi JF, pili mjuaji mjuaji sana, tatu anadharau, 4 hajielewi kama hajielewi, 5 endelea na ww
 
Kwanini wewe umehuzunika Kibonde kuwekwa sero?
 
Jaman hilo ni tangazo mtakuja kuliona kwenye ma board ya matangazo hivi karibuni
 
Sinema ya Kibonde na Polisi kuwekana sero na viatu then kesho waje waseme ni igizo la utii wa sheria bila shuruti ni upuuzi unaopaswa kulaaniwa na kila Raia
 
Roho za Kiswahili huwa zinafurahi zaidi pale mtu wanaemjua anapopata Matatizo regardless ya Tabia zake.
 
Sio kufurahia Hapana bali ni kuto kuelewa mtu mkubwa mwanye heshma zake alafu anafanya jambo la kipumbavu, sawa ndio ajali imetokea yann usiache sheria ikafuata mkondo wake na yaishe kiusalama, haya angalia yote hayo yalio mkuta kudhalilishwa Kama jambazi sugu Ivii heheheeee it's funny kwakweli...
Nimawazo tu.
 
Kibonde mazoea sana kwani angetii si wangeelewana.
 
Sinema ya Kibonde na Polisi kuwekana sero na viatu then kesho waje waseme ni igizo la utii wa sheria bila shuruti ni upuuzi unaopaswa kulaaniwa na kila Raia
Nimeshangaa kumuona yoko selo na viatu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…