PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Pumba tupu
 
Mbowe alikuwa Dikteta sana alimuua Chacha wangwe alimwekea sumu zito kabwe na sasa kala njama na ibirisi wa ccm lisu anyongwe, Mbowe ni mtu wa hovyo sana aliwahi kumtuma Kileo kwenda kuwamwagia watu Tindikali kule Tabora, sasa anakula pesa za walipa kodi kwa Udalali wa kuidhoofisha chadema
 
Mmefeli pabaya sana. Lisu anawatoa uharo
 
Na wewe jenga Upinzani wako na siyo kupiga makelele huku jukwaani wakati mbowe amepigana na kuijenga CHADEMA kwa nguvu zake zote na kwa maisha yake yote
Wewe binafsi unajenga nini kwa kuleta uzi huu? Umetuletea pichani, hapo yupo wapi na anafanya nini? kamilisha hoja ya kutuletea huyo ndugu
 
Mbowe hakuna kitu alifanya chadema zaidi ya wizi kazi za kuikuza chadema zilifanywa na wengi siyo mwizi mbowe, wewe endelea kuvuta Bangi hapo Ghetto kwake lakini Tambua kuwa mbowe sasa hana thamani ni mtu wa hovyo tu
 


Moja na mbili.
 
Mbowe alikwapua pesa zote za chadema akina Lisu wameanza moja, Mbowe ni mwizi balaa
una ushahidi mkuu?

Lissu na Mnyika walikua akina nani kipindi hicho?

naona chama kimewashinda,hamna majawabu ya challenges zenu,mnarudi nyuma kumtafuta aliestaafu

aliewanyima pesa ni maccm na serikali yao

aliewapiga marufuku msifanye siasa ni maccm na mahakama yao

aliemshika mwenyekiti wenu ni maccm na majaji wao

maccm sio adui tena ni mbowe?

mna vichaa kabisa
 
Na huyo pembeni ndio Wewe?!!
 
mkuu

adui yenu ni ccm na serikali yake

mnampa mbowe powers kubwa alizonazo samia

mbowe hana serikali,hana maaskari,hana mahakama,hana dola,etc

yupo nyumbani

kama kila uhalifu maccm wanawafanyia mnamsingizia Mbowe it seems hamumjui adui yenu hasa

mnapambana na mbowe ambae hana lolote,mnamuacha ccm?

mnapambana na adui ambae sio,mnamuacha adui halisi anazidi watesa

naona majawabu ya challenges zenu hamna,mnaona muanze kumsingizia mtu ambae hata kuongea hajaongea popote

CCM ndio adui yenu na si mwingine

otherwise,adui yenu ni akili ndogo za viongozi wenu zinazoshindwa kutatua matatizo yenu anayowaletea ccm!

shida ni akili zenu ndogo,hakuna kingine

ndio maana maccm yanajipigia kadiri wanavyotaka
 
Weka ushahidi wako hapa wewe uliyejaa wivu na chuki binafsi
 
 
Mmefeli pabaya sana. Lisu anawatoa uharo
hapana mkuu

mimi ni mshabiki wa Lissu as a politician

sina tatizo kabisa na umaahiri wake

ila mimi napenda taasisi zaidi kuliko yeye kama individual

Lissu ana mapungufu yake,Lissu sio kiongozi mzuri wa taasisi

hapo tu

na pia ni muongo,utendaji wake sio mzuri na hana akili kama tunavyodhani

hii miezi 6 imetuonesha wazi kabisa,Lissu anatakiwa kuongozwa,kuandaliwa kila kitu yeye aendeleze umashuhuri wake

Lissu sio builder,yeye ni mtumiaji....

pair yake na Mbowe ilikua the best maana Mbowe alikua anajua kumsetia mazingira bora ya yeye kua bora

Unfortunately Lissu alidhani anajua kuendesha gari kumbe sio kweli


Kama ni kufungwa,wote walifungwa na mtu huyo huyo,na kama kunyimwa ruzuku wote walinyimwa,ila chadema ya Mbowe ilifanikiwa kusurvive successfully sehemu zote hizo

Leo ndugu mashuhuri Lissu,same script inampigia chama kinakufa,who had bigger brains?
 
Umechambua vizuri sana . Lissu anapaswa kuongozwa na siyo kuongoza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…