PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Kwa caliber yako ukimsifia mtu automatically anachafuka, yaani hapo umempaka mavi sana katika harakati za democracy na human rights.
 
Lucas Mwashambwa (UWT) anataka kutumia mgogo wa CHADEMA kama wenzake akina Halima apitishwe viti maalum vya utapeli aingie bungeni
 
Makengeza kaondoka na chama chake na Joy wake hivi sasa ni vurugu tupu huko ufipa wahuni wameshika hatamu (kwa wasiojua, hatamu ni kamba za kuongozea farasi yaani kamba za kuongozea binadamu wenye akili za farasi) .
The old man should open a college to teach opposition politics, ukweli ni mwamba kwelikweli. Binafsi namkubali sana japo mi ni kijani, hata umkabe koo vipi huyu Meku bado ataongea kwa upole, heshma na hekima. Hata Joy alipompiga dom kwa ulevi ye alisema ni majambazi.
 
Mbona kama yupo na Mzee wa Galilaya,na iweje Luca kumsifia sana Mwamba,au wote mmekutana tayari kwenye korido za chauma.
 
Namkubali sana tangu niko University.Ni flexible
 
Mwizi sana kala njama na ibirisi wa ccm Lisu apelekwe jela yeye apige Dili na Amos makala kumuuzia G55 kisha Amos makala kuwasokomeza chauma ubwabwa ambapo anakula 10% percent kila pesa inayotoka ccm kwenda Chauma ubwabwa chama haramu kilichoinuliwa na ibirisi wa ccm kwa lengo la kuudhofisha chadema
 
Mbowe ni mwizi ni Dalali wa Siasa kwa sasa hasitahili kuwa kiongozi wa kukumbukwa kwa lolote
 
Angekua amesahaulika usingekua unamtaja taja kila siku. Bahati mbaya huwa hataki shobo na watu kama wewe. Nimekuuliza swali, huyo mbowe unayemsifia leo, kwa nini mlimbambika kesi ya ugaidi?
Mbowe ni mtu mwenye Roho mbaya sana alimuua Chacha wangwe akamwekea Sumu Zito kabwe kwa lengo la kumuua na sasa kala njama lisu ahukumiwe kifo, Mbowe ni mtu wa hovyo sana tokea Lisu aende jela hajawahi kwenda kumjulia hali hata kwa unafiki tu, Mbowe sasa anapiga Dili na Amos makala anawauzia watu toka chadema kwenda chauma ubwabwa ni wizi wa pesa za walipa kodi
 
Acha uzushi wako hapa wewe
 
Mheshimiwa Mbowe ameanza kufanya biashara kabla hata wewe hujazaliwa.
Biashara gani? Hizo biashara za miziki zilikuwa za pesa mbuzi ya kula tu, Mbowe ni mwizi kaiba pesa nyingi za luzuku ya chadema miaka yote, alipewa mabilioni alipotoka jela na sasa anapata mabilioni kwa kuwauza G55 kwa Amos makala na yeye kuwasokomeza chauma ubwabwa ambapo anakula 10% percent kila pesa inayotoka kwa ibirisi wa ccm kwenda Chaumaccm chama haramu cha kishetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…