Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Hao wanawake siku wakianza kutoa ya ndani huko ndo tutajua kinachowakimbiza
 
Yani nacheka Kama hayasikitishi🤣🤣🤣, alijikuta yeye special labda, Ila Haji kiboko....ndoa ina miezi minne mtu kashapandishwa cheo!
Kilobaki tuanze kampeni Haji amuoe Dida tuone nani zaidi🤣🤣🤣
 
Yani nacheka Kama hayasikitishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787], alijikuta yeye special labda, Ila Haji kiboko....ndoa ina miezi minne mtu kashapandishwa cheo!
Kilobaki tuanze kampeni Haji amuoe Dida tuone nani zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]angesubir hata mwaka jamani kaahh..
[emoji38][emoji38]Amuoe dida maana wote haji mindoa na dida mindoa wamekutana na wale watadumu[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…