Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Dini gani hiyo? tuanzie hapo
 
Kwa lulu hata mie sitaki apake make up, yaan anakua vyedi, kuliko akijilipua na madoido sijui anakuaje hata.
Yan hutaki ....Unampangia maisha ....dah kazi ipo adse [emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Waarabu ni dili ujue!
 
Uislamu hausemi ivo
 
Uislamu hausemi ivo
Unasema kuhusu mke wa pili?
Ni lazima uombe idhini kwa mkeo mkubwa.

Hivi unadhani kumwambiya mke unataka kuoa mke wa pili ni purukushani ndogo?
 
Unasema kuhusu mke wa pili?
Ni lazima uombe idhini kwa mkeo mkubwa.

Hivi unadhani kumwambiya mke unataka kuoa mke wa pili ni purukushani ndogo?
Ttzo we mkristo hlf unatka kujifanya unayajua mambo ya Uislamu

sawa bhna nimekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…