FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Maelezo yote yapo katika picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilikuwa hazisemwi kwa sababu Yanga hamkudanganya kwa kusema kwamba nyinyi ndio wa Kwanza kufika nusu fainali mashindano ya CAF, ila kwa kuwa sasa mmeanza kusema uwongo inabidi tuweke rekodi sawaMtaokiteza taarifa zote Ili yanga waonekane hawajafikia mafanikio yenu lakini ukweli ni kuwa Simba wametoka. Taarifa hizo kwanini miaka mingi hazisemwi? Hata mwaka huu mbona Simba wakati anasonga mbele hazikutoka na zimetoka wakati Simba walipotolewa?
Tuipe heshima yanga Kwa kutinga hatua ya nusu fainali
Picha ziko wapi!?
Aahaaaaahizi historia tumechoka kuzisoma Sasa tunataka mjipange msimu ujao mchukue kombe
Makumbusho FCBaambie baelewe
Hata ukiichoka, historia haibadilikihizi historia tumechoka kuzisoma Sasa tunataka mjipange msimu ujao mchukue kombe
Kwenye mpira wa miguu kinacholeta raha ni mafanikio ya sasa, historia ya miaka 5 nyuma kuwa ulikuwa unapesa au una mali au ulifika wapi haina maana. Ac Milan katawala sana soka la ulaya lakini je kwasasa historia yao imesaidia nini.Hata ukiichoka, historia haibadiliki
Sasa kwanini mnasema uwongo kama ndio hivyo?Kwenye mpira wa miguu kinacholeta raha ni mafanikio ya sasa, historia ya miaka 5 nyuma kuwa ulikuwa unapesa au una mali au ulifika wapi haina maana. Ac Milan katawala sana soka la ulaya lakini je kwasasa historia yao imesaidia nini.
Kwahyo.nyie ile historia yenu ni makumbusho fc piaMakumbusho FC
Ujinga mtupu, tukubaline na ukweli wa 1974 tuSasa hivi tumeingia fainali ya KOMBE LA DUNIA LA TWITTER(Twitter World Cup)!
Baada ya miaka 40 ijayo wajing.a kama huyu watakuja kusema Simba ilishashiriki KOMBE LA DUNIA na kufika Fainali!
View attachment 2606488