othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
1974 kindi Tz ipo kwenye peak ya ujamaa[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndio la kufanya , badala ya kupinga rekodicambazo hata Rais anazijua, mjipange kuifikia au kuivunja mkiwezekana. Ila hamjavunja rekodi ya 1993, bali mmeifikia tuFRANCIS DA DON na hiyo rekodi yenu ya kucheza CAF CL zama za Giza,Yanga tumeazimia kuifuta msimu huu wa 2023/2024
Mjiandae kisaikolojia,huyo sijui Wydad,sijui A Ahyl sijui nyenye Gani mnayejivunia,na kujifichamo msimu huu ujao tunaenda kukifyeka
Sijui mtajifichia wapi,
Hamkucheza ShirikishoHilo ndio la kufanya , badala ya kupinga rekodicambazo hata Rais anazijua, mjipange kuifikia au kuivunja mkiwezekana. Ila hamjavunja rekodi ya 1993, bali mmeifikia tu
Sasa wewe si mtoto?Ungejuaje hizo habari bila ya mleta uzi kuandika?Mtaokiteza taarifa zote Ili yanga waonekane hawajafikia mafanikio yenu lakini ukweli ni kuwa Simba wametoka. Taarifa hizo kwanini miaka mingi hazisemwi? Hata mwaka huu mbona Simba wakati anasonga mbele hazikutoka na zimetoka wakati Simba walipotolewa?
Tuipe heshima yanga Kwa kutinga hatua ya nusu fainali
Shirikisho hamjawahi kuchezaSasa wewe si mtoto?Ungejuaje hizo habari bila ya mleta uzi kuandika?
Kwani uzi umeeleza nini boss?Shirikisho hamjawahi kucheza
CLKwani uzi umeeleza nini boss?