Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

Hiyo mara moja ndio tofauti yenyewe.Come back na jilinganishe mtakapoingia hiyo mara moja.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Yaaani nimecheka..., maana umemjibu vizuri mno!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kwenye mpira wa miguu kinacholeta raha ni mafanikio ya sasa, historia ya miaka 5 nyuma kuwa ulikuwa unapesa au una mali au ulifika wapi haina maana. Ac Milan katawala sana soka la ulaya lakini je kwasasa historia yao imesaidia nini.
Lakini ni wewe huyu huyu ambaye ulikuwa unakuja na screenshot za miaka hiyo hiyo ya nyuma kupinga records hizi za Simba
 
Sasa acheni kudanganya, maana ile kauli ya kuwa wa kwanza kufika nusu fainali Caf ni uhuni mtupu, maana si kweli, wapo watu walifika nusu fainali CAF mwaka 1974 tena katika mashindano yenye hadhi zaidi ya CAF klabu bingwa, adabu iwepo!
Sawa umeeleweka, nadhani tatizo kubwa ni simba kutoongelewa kwa hilo.

Hongereni.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Lakini ni wewe huyu huyu ambaye ulikuwa unakuja na screenshot za miaka hiyo hiyo ya nyuma kupinga records hizi za Simba
Kwamba ni kosa kukosoa mtu anayepindisha historia? Au unataka kusema nini
 
Hahahahahahaaaaaaaa Wanasimba bwana baada ya yanga kuingia nusu wanaleta taarifa za kuguugo za kipindi hata gugo haipo
 

Attachments

  • 788BB50D-9E33-4498-BB25-475EB0208B2E.png
    788BB50D-9E33-4498-BB25-475EB0208B2E.png
    286.8 KB · Views: 1
Mtaokiteza taarifa zote Ili yanga waonekane hawajafikia mafanikio yenu lakini ukweli ni kuwa Simba wametoka. Taarifa hizo kwanini miaka mingi hazisemwi? Hata mwaka huu mbona Simba wakati anasonga mbele hazikutoka na zimetoka wakati Simba walipotolewa?

Tuipe heshima yanga Kwa kutinga hatua ya nusu fainali
Zeru zeru neo ameyataka Hays yote,ZERUZERU.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
K
Wanamaanisha nusu ya mfumo huu uliopo.
Nusu fainali ya 1974 tofauti sana na hii ya mfumo huu wa sasa.
Ya mwaka 1974 timu inacheza mechi nne tu tayari ROBO, mechi 6 tayari NUSU. Unaweza kuwa bingwa bila ya kushinda hata mechi moja ndani ya dakika 90 au 120.
Mfumo wa sasa huwezi kuchukua kombe la robo fainali bila kushinda ndani ya dakika 90 lazima uwaue kiume wenzako hapo kwenye makundi.
Kuna watu MNA matatizo sana ila mnawaona wengine wana matatizo,Hii nchi tuna matatizo sana.
 
Kuna Ile Team Ya Ujanjaujanja Wao Hawayajui Haya Mafanikio Makubwa Sana Tanzania
Wanabwata Tu
Weka picha simba wakivaa medali za mshindi wa pili wa mashindano hayo ya Caf
 
Back
Top Bottom