FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
Angalia niliyemjibu aliniuliza nini kabla huku-niquoteHoja gani uliyoleta hapo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia niliyemjibu aliniuliza nini kabla huku-niquoteHoja gani uliyoleta hapo??
Tatizo lako dogo unabishana na upepo.Angalia niliyemjibu aliniuliza nini kabla huku-niquote
Sasa si ujibu hojaTatizo lako dogo unabishana na upepo.
Kama mnavyoliita kombe la CAF CC kuwa ni la waliofeli na nusu fainali yenu ya mwaka 1974 ilikuwa ni ya kindergarten.Sasa kwanini kwenye rekodi wanasema Al-ahly imechukua kombe mara 5 huku wakijumuisha makonbe ya miaka ya 70 pia?
Tunachokataa ni kwamba CAF cup aliyoshiriki Simba mwaka 1993 na kucheza fainali, haikuwa michuano ya shirikisho kwa kipindi hiko.Kwamba hakuna timu kabla ya Yanga iliyowahi kufika nusu fainali mashindano ya CAF?
Dah gongowazi kwa kusahau.Ndio madhara ya mihogo mibichi.Hao hao wanadai ni mabingwa wa kihistoria.Sasa sijui hilo jina wanajiita kwa mantiki gani?Wameshasahau.Maskini Mropokaji kawazuga wakazugika.Kwenye mpira wa miguu kinacholeta raha ni mafanikio ya sasa, historia ya miaka 5 nyuma kuwa ulikuwa unapesa au una mali au ulifika wapi haina maana. Ac Milan katawala sana soka la ulaya lakini je kwasasa historia yao imesaidia nini.
Sawa, lakini ndio ilikuwa klabu bingwa Afrika, 1974, Simba waliingia nusu, kwanini Yanga na timu zingine za Afrika wakati huo hawakuingia nusu kwa mfumo ambao mnadai ulikuwa rahisi?Kama mnavyoliita kombe la CAF CC kuwa ni la waliofeli na nusu fainali yenu ya mwaka 1974 ilikuwa ni ya kindergarten.
Kwahiyo hata huyo Al Ahly miaka ya nyuma alichukua kombe lililoandaliwa katika mashindano ya chekechea.
Tubishane Hilo Kombe la Shirikisho 1993 ya nini wakati ni kombe la chini ukilinganisha na 1974 klabu bingwa Afrika ambayo Simba walifika nusu? Kwani ni lini Yanga walifika nusu fainali klabu bingwa Afrika? Why mnakosa adabu?Tunachokataa ni kwamba CAF cup aliyoshiriki Simba mwaka 1993 na kucheza fainali, haikuwa michuano ya shirikisho kwa kipindi hiko.
La pili katika historia ya Caf confederation cup ni timu ya Tanzania na Africa Mashariki ni Yanga ndio iliyofika nusu fainali.
Wanajiita wa Kihistoria, lakini kwa wenzao hawataki kusikia historia ya wenzao kuingia nusu fainali klabu bingwa AfrikaDah gongowazi kwa kusahau.Ndio madhara ya mihogo mibichi.Hao hao wanadai ni mabingwa wa kihistoria.Sasa sijui hilo jina wanajiita kwa mantiki gani?Wameshasahau.Maskini Mropokaji kawazuga wakazugika.
Hoja gani?? Huna hoja kijana unabishana na upepo.Sasa si ujibu hoja
Mafanikio gani?Hoja gani?? Huna hoja kijana unabishana na upepo.
Mafanikio ya yanga yatakuua shauri yako..
Huyajui eeeh subiri tarh 10 mwezi huu...Mafanikio gani?
Waliosema Yanga ndio timu ya kwanza kufika nusu fainali maahindano ya CAFNani anabisha ?
Hoja ya kwamba mmedanganya ummaHoja gani?? Huna hoja kijana unabishana na upepo.
Mafanikio ya yanga yatakuua shauri yako..
Tatizo lako kijana umehamisha mjadala, wala hatukua huko sisi.Hoja ya kwamba mmedanganya umma
Sawa, lakini ndio ilikuwa klabu bingwa Afrika, 1974, Simba waliingia nusu, kwanini Yanga na timu zingine za Afrika wakati huo hawakuingia nusu kwa mfumo ambao mnadai ulikuwa rahisi?
Hiyo mara moja ndio tofauti yenyewe.Come back na jilinganishe mtakapoingia hiyo mara moja.Kwani Simba iliingia mara ngapi kama si hiyo moja tu.
Yanga wakifika robo wakatolewa na Asante Kotoko FC ya GHANA au Hearts of Oak Sporting Club (sikumbuki vizuri hapa) kwa kurusha shilingi. Yanga haikushindwa kwenye dakika 90/120 wala matuta.
Ni sawa na watu 2 washindanie kitu halafu asipatikane mshindi halafu jaji aamue kumpa mmoja kwa kigezo cha alfabeti kama ni kianzio cha jina.
Hapo Simba anajivunia uhodari gani aliomzidi Yanga.
Sasa acheni kudanganya, maana ile kauli ya kuwa wa kwanza kufika nusu fainali Caf ni uhuni mtupu, maana si kweli, wapo watu walifika nusu fainali CAF mwaka 1974 tena katika mashindano yenye hadhi zaidi ya CAF klabu bingwa, adabu iwepo!Tatizo lako kijana umehamisha mjadala, wala hatukua huko sisi.
Kilichokua kinabishaniwa hasa ni ile kusema nyie mlifika fainali kombe mnaloita la loosers, baada ya upekenyuzi mkali ikabainika si kweli nyie mlifika fainali caf cup na sio hili la sasa analoshiriki yanga...
Mkakubali ubishani ukaisha, sasa wewe unaibuka na mapya ambayo wala wanayanga hawana shida nayo kwa sasa.
Ndio maana wanamichezo makini wa jf wamepuuza uzi wako, kwasababu unabishana na upepo. Unajiundia hoja na kuanza kujibishana na nafsi yako.
Yanga alifika nusu fainali klabu bingwa mwaka gani?Kwani Simba iliingia mara ngapi kama si hiyo moja tu.
Yanga wakifika robo wakatolewa na Asante Kotoko FC ya GHANA au Hearts of Oak Sporting Club (sikumbuki vizuri hapa) kwa kurusha shilingi. Yanga haikushindwa kwenye dakika 90/120 wala matuta.
Ni sawa na watu 2 washindanie kitu halafu asipatikane mshindi halafu jaji aamue kumpa mmoja kwa kigezo cha alfabeti kama ni kianzio cha jina.
Hapo Simba anajivunia uhodari gani aliomzidi Yanga.