Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

344530444_830559185303008_7099845206385724044_n.jpg
 
Jamaa kiukweli hilo la 1974 linakukereketa mno wakati wala hatujalibishia.

Wapeni wananchi maua yao, nyie mlipewa yenu huo mwaka 74.
Sasa sijui mnataka mpewe hongera, sijui mnakumbusha yaani haieleweki lengo la roborobo fc ni nini hasa.
 
Mtaokiteza taarifa zote Ili yanga waonekane hawajafikia mafanikio yenu lakini ukweli ni kuwa Simba wametoka. Taarifa hizo kwanini miaka mingi hazisemwi? Hata mwaka huu mbona Simba wakati anasonga mbele hazikutoka na zimetoka wakati Simba walipotolewa?

Tuipe heshima yanga Kwa kutinga hatua ya nusu fainali
Kyajhe gwalipo,🏋️
 
Jamaa kiukweli hilo la 1974 linakukereketa mno wakati wala hatujalibishia.

Wapeni wananchi maua yao, nyie mlipewa yenu huo mwaka 74.
Sasa sijui mnataka mpewe hongera, sijui mnakumbusha yaani haieleweki lengo la roborobo fc ni nini hasa.
Sasa kwanini mnasema hakuna timu ya Tz iliyowahi kufika hatua ya nusu fainali mashindano yanayoqndaliwa na CAF wakati wapo watu walifika tena klabu bingwa?
 
We jamaa unatafuta wa kubishana nao, umechangia nyuzi umeona haitoshi ukaanzisha wako.

Hii inadhihirisha ni jinsi gani mafanikio ya yanga yanakuumiza si mchezo.

Subiri tuchukue kombe ukufe kabisa.
 
Wanamaanisha nusu ya mfumo huu uliopo.
Nusu fainali ya 1974 tofauti sana na hii ya mfumo huu wa sasa.
Ya mwaka 1974 timu inacheza mechi nne tu tayari ROBO, mechi 6 tayari NUSU. Unaweza kuwa bingwa bila ya kushinda hata mechi moja ndani ya dakika 90 au 120.
Mfumo wa sasa huwezi kuchukua kombe la robo fainali bila kushinda ndani ya dakika 90 lazima uwaue kiume wenzako hapo kwenye makundi.
 
Sasa si ujibu hoja?
 
Sasa kwanini kwenye rekodi wanasema Al-ahly imechukua kombe mara 5 huku wakijumuisha makonbe ya miaka ya 70 pia?
 
Back
Top Bottom