Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

Mtaokiteza taarifa zote Ili yanga waonekane hawajafikia mafanikio yenu lakini ukweli ni kuwa Simba wametoka. Taarifa hizo kwanini miaka mingi hazisemwi? Hata mwaka huu mbona Simba wakati anasonga mbele hazikutoka na zimetoka wakati Simba walipotolewa?

Tuipe heshima yanga Kwa kutinga hatua ya nusu fainali
 
Zilikuwa hazisemwi kwa sababu Yanga hamkudanganya kwa kusema kwamba nyinyi ndio wa Kwanza kufika nusu fainali mashindano ya CAF, ila kwa kuwa sasa mmeanza kusema uwongo inabidi tuweke rekodi sawa
 
Daah simba hadi aibu kulia lia kisa fainali,vumilieni tu maana wimbo wenu wa kimataifa umeshakatwa
 
Sasa hivi tumeingia fainali ya KOMBE LA DUNIA LA TWITTER(Twitter World Cup)!

Baada ya miaka 40 ijayo wajing.a kama huyu watakuja kusema Simba ilishashiriki KOMBE LA DUNIA na kufika Fainali!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…