Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

Hiyo mara moja ndio tofauti yenyewe.Come back na jilinganishe mtakapoingia hiyo mara moja.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Yaaani nimecheka..., maana umemjibu vizuri mno!
 
Reactions: Tui
Kwenye mpira wa miguu kinacholeta raha ni mafanikio ya sasa, historia ya miaka 5 nyuma kuwa ulikuwa unapesa au una mali au ulifika wapi haina maana. Ac Milan katawala sana soka la ulaya lakini je kwasasa historia yao imesaidia nini.
Lakini ni wewe huyu huyu ambaye ulikuwa unakuja na screenshot za miaka hiyo hiyo ya nyuma kupinga records hizi za Simba
 
Sasa acheni kudanganya, maana ile kauli ya kuwa wa kwanza kufika nusu fainali Caf ni uhuni mtupu, maana si kweli, wapo watu walifika nusu fainali CAF mwaka 1974 tena katika mashindano yenye hadhi zaidi ya CAF klabu bingwa, adabu iwepo!
Sawa umeeleweka, nadhani tatizo kubwa ni simba kutoongelewa kwa hilo.

Hongereni.
 
Reactions: Tui
Lakini ni wewe huyu huyu ambaye ulikuwa unakuja na screenshot za miaka hiyo hiyo ya nyuma kupinga records hizi za Simba
Kwamba ni kosa kukosoa mtu anayepindisha historia? Au unataka kusema nini
 
Hahahahahahaaaaaaaa Wanasimba bwana baada ya yanga kuingia nusu wanaleta taarifa za kuguugo za kipindi hata gugo haipo
 
Zeru zeru neo ameyataka Hays yote,ZERUZERU.
 
Reactions: Tui
K
Kuna watu MNA matatizo sana ila mnawaona wengine wana matatizo,Hii nchi tuna matatizo sana.
 
Kuna Ile Team Ya Ujanjaujanja Wao Hawayajui Haya Mafanikio Makubwa Sana Tanzania
Wanabwata Tu
Weka picha simba wakivaa medali za mshindi wa pili wa mashindano hayo ya Caf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…