Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

FRANCIS DA DON na hiyo rekodi yenu ya kucheza CAF CL zama za Giza,Yanga tumeazimia kuifuta msimu huu wa 2023/2024

Mjiandae kisaikolojia,huyo sijui Wydad,sijui A Ahyl sijui nyenye Gani mnayejivunia,na kujifichamo msimu huu ujao tunaenda kukifyeka

Sijui mtajifichia wapi,
 
Hilo ndio la kufanya , badala ya kupinga rekodicambazo hata Rais anazijua, mjipange kuifikia au kuivunja mkiwezekana. Ila hamjavunja rekodi ya 1993, bali mmeifikia tu
 
Hilo ndio la kufanya , badala ya kupinga rekodicambazo hata Rais anazijua, mjipange kuifikia au kuivunja mkiwezekana. Ila hamjavunja rekodi ya 1993, bali mmeifikia tu
Hamkucheza Shirikisho

Leta ushaidi hapa hapa sasa hivi
 
Sasa wewe si mtoto?Ungejuaje hizo habari bila ya mleta uzi kuandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…