PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

kwanini mauaji ya kinyama namna hii,kwanini iwe nchini kwetu.Hali hii ni mbaya.Muda utapita na mtadhani watu watsahau haya, ila ninachofahamu , makovu hayatafutika na kisasi toka kwa wananchi hakikwepeki.Ni bora tupigana na Malawi kudai haki yetu kuliko kuuana wenyewe kwa wenyewe bila sababu yoyote
 
Siliamini Jeshi la polisi!. ... Wakisema hatujaua naelewa ni kinyume chake, ...Inaelekea hawajafunzwa kulinda raia ila kuua raia. Jana walimuua Mwangosi kesho tunafuata mimi na wewe!.
 
Inatia huruma sana. Aliemuua ni huyo aliemuelekezea mtutu
 
Propaganda za kijinga hizo, ni wapi hizo picha zinapoonesha wameuwa?

Muuwe nyinyi halafu mje kudanganya humu? tutawakamata tu.

Zomba una roho mbaya.

Kama roho uliyo nayo ina reflect itikadi yako, itikadi hiyo ni ya kinyama na ya kulaani.
 
Tangu thread hii ilipowekwa mtandaoni namba ya users ni zaidi ya 320 na members ni kati ya 60 na 120 na guests 260 - 300. Naamini maovu ya jeshi la polisi sasa yako wazi zaidi kupitia idadi hii!... Kwa tukio hili hata mauaji ya Morogoro yanaonekana yamefanywa kwa makusudi!..
 
Polisi wakiwa kazini na kwenye vurugu hutakiwi kuwakimbilia na kuwakumbatia, unatakiwa ulale chini tena kifudifudi, kwenye sakata kama hilo hata kunyanyua mikono juu ni kujitafutia balaa.

Kumvamia askari na kumkumbatia ni kosa kubwa sana hususan kwenye fujo. Na kama kapigwa na polisi mwengine kwa chochote kile basi huyo Polisi hana makosa kwani anajuwa umemshambulia mwenzake.
 
eti ccm inahubiri tanzania kuna amani.......amani gani wakati CCM na Serikali (polisi) ni wauaji wakubwa. does the peaceful assembly, whether accepted by police or not amount to killing innocent civilians! police wanafanya kazi kwa misingi ya sheria zipi?? mbona wao ndo wakwanza kuvunja sheria????
 
Rest in Peace David Mwangosi; you died in the line of duty, you died for a cause, you made the fourth estate proud albeit at the expense of your own life; every Tanzanian who cherises peace and better democratic space will for ever be greatful to you. God speed David.

Napendekeza all pen pushers, wanamageuzi, CDM na watanzania kwa ujumla tuchakatue ili kutafuta njia bora ya kumuenzi David, tuna deni kwa familia yake!
 
matukio ya police kuua raia wema kinyama sasa yamezidi, watanzania tumechoka na uonevu na uovu wa police
 
kila wakati wanaundaa tume..............mambo ya tume sasa yamekua ni siasa....ile yume ya ulimboka matokeo yako wapi?police waue, wao ndo waunde tume, wakati RPC alisema anatekeleza maagizo ya IGP?
 
Ndugu zangu Poleni sana! Poleni wanahabari, poleni ndugu, poleni wazazi wa Mwandishi. Pole sana mke wa marehemu na poleni watoto (kama alikuwa nao) wake. Mimi ninasikitika kwa jambo moja. Huyo mwandishi ninaimani alikuwa mlipa kodi. Bahati mbaya kodi yake imenunulia silaha na ndizo hizo polisi wamezitumia kuulia mtu asiye na hatia! Mbona hatuoni nguvu hizo zikitumika kwa mafisadi (au kama tukiwaondoa mafisadi nchi/serikali itayumba...kama tulivyowahi kuambiwa hapo mwanzo). Mimi ninadhani ipo haja ku-hang hawa polisi I think this could be named as extra-judicial killings! Sina hakika kama katiba (iliyopo sasa pamoja na ubovu wake) inaruhusi hili. Sina hakika kama this is what we are made to believe kuwa POLISI ni walinda usalama! Hoooh! Tanzania nchi yangu. Unaona kifo cha mtu mmoja kikachwa kinaleteleza cha mtu mwingine. Sipendi nitabiri kuwa endapo hali itaachwa hivyo tusishangae siku moja polisi kusababisha mass killings! This is where we are heading to! Mungu utunusuru!
 
Unamshambulia mwenzake na camera na begi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…