Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

Mbona ni tu Gari twa kawaida sana.
Alafu CCM ni Chama chenye ruzuku na rasilimali nyingi sana,sidhani hapa kuna any confusion au labda kama tunadhani haina uwezo huo tutoe justification.
Ingawa hoja kama hii inaweza kuletwa makusudi na wahusika ili kutengeneza attention ya ujio wa Cde.PM.
 
Na makonda anapenda sana ,mambo ya misafara huyu jamaa ,hamkuona alivyokuwa mkuu wa mkoa,misafara kibaaao na ulinzi,ili hali watu hakuna mwenye time nae,anapenda saana misafara mikubwa,westing of the money,westing of the money
Ndio wasukuma wengi walivyo.
Anataka tension kwa kila mtu.
Ushamba mzigo.
 
Nchi hii ili kuepuka stress.
Moja, Jizime Data au..
Pili, Usitarajie ikafanyie lolote zuri.

Just Fight for the best, Expect for the worst. Unachotakiwa uwe na uhakika nacho ni disappointments tuu, by then hautakua surprised na lolote.
Otherwise utake actions.
Nakubaliana na wewe. Nimeona ckip Makonda anaongea na wananchi. Kuna malalamiko mengi ya watu kupotelewa na watoto, ndugu au wenza kwa kutekwa. Polisi hawana msaada, rais hana msaada, Makonda anatumia masaibu yao kuwaambie 2025 wamchague tena Samia ambaye ameshindwa kuwasaidia, yaani kama ulivyosema hii nchi ukijifanya una akili timamu unaweza kufa kwa kihoro. Wananchi wamechanganyikiwa wanakimbilia kwa ''manabii'' ili wawaombee kupata kazi, daaaa. Kwa ujumla wengi hawaoni correlation kati ya maisha yao na viongozi.
 
Nchi hii ili kuepuka stress.
Moja, Jizime Data au..
Pili, Usitarajie ikafanyie lolote zuri.

Just Fight for the best, Expect for the worst. Unachotakiwa uwe na uhakika nacho ni disappointments tuu, by then hautakua surprised na lolote.
Otherwise utake actions.
Kuna member mmoja aliwahi kusema ukifuatilia siasa na mambo ya Tanzania halafu ukaendelea kuwa comfortable bila ya stress unaweza kuishi jehanamu bila shida yoyote.

kwa hio ukifuatilia sana issue za siasa lazima uwe isivyo kawaida.
 
Tumekuwa tukiona Mhe. Paul Makonda akiingia na Toroli, Bulldozer, Baiskeli n.k kwenye ziara zake mikoa tofauti nchini.

Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani msafara wa magari wa Makonda unavyoonekana akiwa anaelekea kwenye ziara zake huko mikoani.?

Hapa nimekuletea picha tofauti za muonekano wa magari ya msafara wa Paul Makonda.

View attachment 2887296

View attachment 2887297

View attachment 2887298

View attachment 2887299

View attachment 2887300

View attachment 2887301

📸 WasafiMedia
Written by Mjanja M1
eehee Kwan wanasema tatizo liko upande gan au ni gubu tu 🐒
 
Back
Top Bottom