Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

Akifika location anateremka anapanda baiskel watu hehehehehehe..🔊🔊🔊🔊
Mtetezi wa wanyonge🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mngepinga ruzuku kwa vyama vya siasa ungekuwa mjadala wa maana.

Nilidhani jamaa anatembelea magari ya serikali kumbe ya chama chake.
 
Bashite is such an imposing figure with a fresh impetus for a modernized smear campaign.

When it comes to gutter politics and political subversion, he's CCM's most stood-out and decorated storm trooper.
Impetus= force or pressure, forceful and to smear is like siasa za maji taka ie destruction of someone reputation, kwahiyo CCM wamemchagua huyo asafishe njia kuelekea uchaguzi mkuu next year
 
Naona kama wengi mnao changia hamjaelewa lengo la uzi. Ni kama ametaka kuonyesha unafiki wa Makonda. Kwa wengi wanao hudhuria mikutano yake huenda wakahisi hua kweli ana safiri na haya matipa na mikokoteni kumbe anakuwa na msafara mkubwa wa ma v-8 akikaribia eneo analokwenda kufanya mkutano anayaficha ma v-8 anapanda punda au bodaboda.

Uzugaji wa kifala sana
 
wana ccm wakisubiri mwakonda
MV5BNDUwNjBkMmUtZjM2My00NmM4LTlmOWQtNWE5YTdmN2Y2MTgxXkEyXkFqcGdeQXRyYW5zY29kZS13b3JrZmxvdw@@._...jpg
 
Wadau wa UCHUMI wa KATI ambao NCHI yetu imo ninaomba kufahamishwa KIUCHUMI Umuhimu wa MISAFARA ya Bw.MAKONDA kuwa na idadi kubwa ya MAGARI zaidi ya 30.Je UMUHIMU wa kuwa na MAGARI mengi ktk Misafara ina faida gani kwa WANANCHI MASIKINI wa NCHI hii Wanaohangaika na MLO mmoja wa SIKU?
Je Bw.MAKONDA angetumia Magari 10 Asingefanikisha huo UENEZI wake?
Hebu VIONGOZI WETU kuweni WAZALENDO kwa MALI ZA UMMA waoneeni HURUMA wananchi wanaohangaika kuzitafuta KODI ambazo badala ya KUWALETEA MAENDELEO zinawaletea UFUJAJI wa KODI zao kwa KINA MAKONDA na WENZAKE kusafiri kama WAFALME kwa KUSINDIKIZWA na MAGARI 30
CCM mnatukosea sana WANANCHI Masikini wa NCHI HII.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Makonda ni Zerobrain yaani hana kitu kichwani. Anaweza kutumika kwenye vurugu tu kwa vile hajali kutukana, kupiga au kuua. Na yuko tayari kumtumikia yeyote yule kwa vitendo viovu alimradi apate cheo au fedha
 
Back
Top Bottom