Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

Mbona ni tu Gari twa kawaida sana.
Alafu CCM ni Chama chenye ruzuku na rasilimali nyingi sana,sidhani hapa kuna any confusion au labda kama tunadhani haina uwezo huo tutoe justification.
Ingawa hoja kama hii inaweza kuletwa makusudi na wahusika ili kutengeneza attention ya ujio wa Cde.PM.
 
Na makonda anapenda sana ,mambo ya misafara huyu jamaa ,hamkuona alivyokuwa mkuu wa mkoa,misafara kibaaao na ulinzi,ili hali watu hakuna mwenye time nae,anapenda saana misafara mikubwa,westing of the money,westing of the money
Ndio wasukuma wengi walivyo.
Anataka tension kwa kila mtu.
Ushamba mzigo.
 
Nakubaliana na wewe. Nimeona ckip Makonda anaongea na wananchi. Kuna malalamiko mengi ya watu kupotelewa na watoto, ndugu au wenza kwa kutekwa. Polisi hawana msaada, rais hana msaada, Makonda anatumia masaibu yao kuwaambie 2025 wamchague tena Samia ambaye ameshindwa kuwasaidia, yaani kama ulivyosema hii nchi ukijifanya una akili timamu unaweza kufa kwa kihoro. Wananchi wamechanganyikiwa wanakimbilia kwa ''manabii'' ili wawaombee kupata kazi, daaaa. Kwa ujumla wengi hawaoni correlation kati ya maisha yao na viongozi.
 
Kuna member mmoja aliwahi kusema ukifuatilia siasa na mambo ya Tanzania halafu ukaendelea kuwa comfortable bila ya stress unaweza kuishi jehanamu bila shida yoyote.

kwa hio ukifuatilia sana issue za siasa lazima uwe isivyo kawaida.
 
eehee Kwan wanasema tatizo liko upande gan au ni gubu tu 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…