Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

Hivi chama kipo tangu enz na enz...kishindwe kuwa na magar kama hayo....roho ya kimasikin ni mbaya sana...ni laana...ukomboz wa kiuchumi unaanza na wewe mwenyewe...
 
Reactions: Tui
Bashite is such an imposing figure with a fresh impetus for a modernized smear campaign.

When it comes to gutter politics and political subversion, he's CCM's most stood-out and decorated storm trooper.
Even haters are in shadow not to come to light come if you debate be a man
 
Wadau wa UCHUMI wa KATI ambao NCHI yetu imo ninaomba kufahamishwa KIUCHUMI Umuhimu wa MISAFARA ya Bw.MAKONDA kuwa na idadi kubwa ya MAGARI zaidi ya 30.Je UMUHIMU wa kuwa na MAGARI mengi ktk Misafara ina faida gani kwa WANANCHI MASIKINI wa NCHI hii Wanaohangaika na MLO mmoja wa SIKU?
Je Bw.MAKONDA angetumia Magari 10 Asingefanikisha huo UENEZI wake?
Hebu VIONGOZI WETU kuweni WAZALENDO kwa MALI ZA UMMA waoneeni HURUMA wananchi wanaohangaika kuzitafuta KODI ambazo badala ya KUWALETEA MAENDELEO zinawaletea UFUJAJI wa KODI zao kwa KINA MAKONDA na WENZAKE kusafiri kama WAFALME kwa KUSINDIKIZWA na MAGARI 30
CCM mnatukosea sana WANANCHI Masikini wa NCHI HII.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Yote ni magari ya chama!

Ila hilo li landrover nimelilubali
 
Reactions: Tui
Achaa kubana,hao CCM wakizunguka kila Mkoa na pesa ndiyo inazunguka hapo Mkowani hadi inaenda chini kwa Wananchi!!
 
V 8 limevimba kwenye bara bara ya tope na wao wanaona sawa tu si wauze hayo mataka taka wasaidie Wananchi kuliko kuwakebehi kwa hayo madude...
 
Pesa zenu anajengea mwenyekiti wa kudumu ndio maana mnashangaa gari za CCM.
 
Mwenez atafutiwe magari kuendana na hadhi yake na ugumu wa kazi anayoifanya.Tunatambua mchango wake katika taifa tumpe sapoti.
 
Reactions: Tui
Na wewe uko ofisi ya uenezi? Mnatangaza chama chenu.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kuna member mmoja aliwahi kusema ukifuatilia siasa na mambo ya Tanzania halafu ukaendelea kuwa comfortable bila ya stress unaweza kuishi jehanamu bila shida yoyote.

kwa hio ukifuatilia sana issue za siasa lazima uwe isivyo kawaida.
Duhh! Jehanamu tena? Nimecheka sana,,,,🤣🤣
 
Mwenez atafutiwe magari kuendana na hadhi yake na ugumu wa kazi anayoifanya.Tunatambua mchango wake katika taifa tumpe sapoti.
Utamu wa ziara yake unaingia shubiri anapoingiza kampeni za uchaguzi kumkampenia Samia.

Uozo anaouibua kila kona kuonesha Serikali imefeli, basi jitihada zozote za maana zingeweza kuchukuliwa kuonesha angalau serikali inajivua gamba na inaziba mapengo.

Hili la kusoma mabango, kuhoji wananchi kuelezea dhiki zao na kisha mambo kubakia vile vile bila ya hatua madhubuti kuchukuliwa, tunaona ni kampeni haramu ya urais inayokiuka katiba kwa kutumia madhila na shida za wananchi waliyoyasababisha wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…