Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

Akifika location anateremka anapanda baiskel watu hehehehehehe..🔊🔊🔊🔊
Mtetezi wa wanyonge🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mngepinga ruzuku kwa vyama vya siasa ungekuwa mjadala wa maana.

Nilidhani jamaa anatembelea magari ya serikali kumbe ya chama chake.
 
Bashite is such an imposing figure with a fresh impetus for a modernized smear campaign.

When it comes to gutter politics and political subversion, he's CCM's most stood-out and decorated storm trooper.
Impetus= force or pressure, forceful and to smear is like siasa za maji taka ie destruction of someone reputation, kwahiyo CCM wamemchagua huyo asafishe njia kuelekea uchaguzi mkuu next year
 
Naona kama wengi mnao changia hamjaelewa lengo la uzi. Ni kama ametaka kuonyesha unafiki wa Makonda. Kwa wengi wanao hudhuria mikutano yake huenda wakahisi hua kweli ana safiri na haya matipa na mikokoteni kumbe anakuwa na msafara mkubwa wa ma v-8 akikaribia eneo analokwenda kufanya mkutano anayaficha ma v-8 anapanda punda au bodaboda.

Uzugaji wa kifala sana
 
Makonda ni Zerobrain yaani hana kitu kichwani. Anaweza kutumika kwenye vurugu tu kwa vile hajali kutukana, kupiga au kuua. Na yuko tayari kumtumikia yeyote yule kwa vitendo viovu alimradi apate cheo au fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…