Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Nyuzi za Moshi ziko nyingi sana humu. Natamani mazingira halisi ya asili ya kijani kibichi. Ila mademu zangu nilioacha uko wananiuma sana
 
Nafikiri pini za Magu ndo zimeleta yote haya, miaka nenda rudi wachaga wamekuwa wanaenda kwao, ila mwaka huu imekuwa kama ndo kwa mara ya kwanza kwenda.
Ha ha ila sasa wamezidisha mzee, the hype ila ni vizuri kwa uchumi wa mkoa na nchi, wanaemda kutoboka huko tena vibaya mno...nadhani huu utamaduni udumishwe kwa makabila yote, December kila mtu arudi kwao tubaki wakimbizi tuu mijini
 
Geita na Lindi kukosa airport kulisababishwa na wachaga? Suala la shule za mkoloni kwangu mm halina mantiki yoyote. Mwalimu Nyerere alivyoingia madarakani alitaifisha karibia shule zote binafsi na kuhakikisha kila Mtanzania mwenye nia anaweza kusoma. Leo ni miaka 59 tokea ukoloni uishe na shule zote kuwa accessible kwa Watanzania wote.. What happened?
 
Ha ha ila sasa wamezidisha mzee, the hype ila ni vizuri kwa uchumi wa mkoa na nchi, wanaemda kutoboka huko tena vibaya mno...nadhani huu utamaduni udumishwe kwa makabila yote, December kila mtu arudi kwao tubaki wakimbizi tuu mijini
Ingependeza sana, soon Magu atatangaza tu
 
Icho kibanda cha nyumbani kwenu mlicho panga matofali ndio unatamba tuliojenga tumetulia mlio panga tofali picha na kelele kibao kunywa mbenge ulale.

Haaa haaa nimeona Avatar yako nmefurahi sana
 
Wachaga wanafikri bado wanaishi miaka ya 1960.

Sasa hivi kila kona inabadirika na hatimae kila mkoa utafikia hatua kama hizo.

Sasa hivi makabila yote yanasoma, na kufanya biashara, kila mtu kajanjaruka hakuna fursa itampita tofauti na zamani kwa kuwa wachaga waliwahi kujanjaruka basi kila fursa walikuwa wanakamata wao.

Sasa hivi ikitangazwa nafasi ya ajira mchaga hatumi kimemo kwa mjomba ake tena bali anaenda kwenye interview ambayo anaenda kukutana na watu wa makabila yote wenye expirience kama yake na kazi anapata aliefaulu interviews vizuri.
Sasa wachaga wakiona hivyo wanapata hasira wanafikiri Magu ni mkabila ana wabania[emoji23][emoji23][emoji23]

Sikieni! Ni hali imebadirika fursa inaonwa na kila kabila sasa hivi, so msijifanye kuonewa na mkiendelea na hii mentality yenu ya miaka ya 60 mtalia sana.
 
Hata wale waliopiga mlima Kilimanjaro nao ni washamba mpaka leo? 🤣🤣🤣 Wewe sema hiviii....sina picha ya kupost hapa...utapost nini wakati wewe ni mkimbizi kwenu
Huo Ni ushamba. Nahisi utakuwa chini ya umri wa miaka 20.
Haya mambo ya kupiga picha wanafanya watoto wakisafiri njiani
 
Mfano wametengwa kwenye nini?
 


Na hiyo barabara wamejenga Wachagga???
 
Yaani heli mkaishi nchi mliyopakana nayo maana mnafanana tabia. mnajisikia hadi kero! Mbona mmejazana mikoa ambayo haijaendelea mnatafuta nini? Si mkaishi kwenu kulikoendelea? Biashara zenu magumashi tupu ujanja2 tupu efd mnazo lakini hamtoi risiti! Tabia zenu siyo za kitz! I wish muishi kama mapambo tu msipate nafasi ya kuiba tena.
 
luambo makiadi njoo mjibu huyu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…