Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Unafeli sana mzee, wachaga wanaenda kwenye viwanda sasa hivi, consultancy services n.k hawa deal na retail businesses tena, hawa ni wasomi, sijui kama unajua bond and stocks, cryptocurrency and the like...jidanganyeni hapo kariakoo sogea pwani angalia wamiliki wa viwanda, they are taking over kwa waturuki n.k
 
Tunaangalia fursa mana wengi wa watz mna fursa kibao lakini hamzioni ndio mana tunavamia chap. Huko umakondeni Magufuli alipiga marufuku mtu wa nje yao kuuza korosho unajua kwanini?
 
Moshi ninapapenda kwa usafi, kwa kweli wanajitahidi sana
 
Iko wazi kabisa. Sitaki kumsemea huyo mwenye kutenga watu kwa ukanda na ukabila. Ila chuki kubwa sana kwa wachagga.
Mfumo umebadirika kijana! Hakuna ajira za kumuandikia mjomba kimemo siku hizi, kila kabila ni wasomi kwa hiyo mtakutana kwenye interview. Na fursa za biashara zinagombewa na kila kabila siku hizi sasa nyie mkiona huo mnyang'anano wa fursa mnahisi kutengwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Viwanda vipi mzee? Na kama ni hivyo mbona mnalalamika kwamba mzee anawabana?

Hii siyo 1960 mzew ni 2020 ambapo kila fursa inachunguliwa na kila mtu.
 
@Zogwale hakuna cha shemeji zako bana we ni mchaga pure usiwasingizie mashemeji[emoji1][emoji1][emoji1787]

Nyie endeleeni kujisifia tu baasi
 
@Zogwale hakuna cha shemeji zako bana we ni mchaga pure usiwasingizie mashemeji[emoji1][emoji1][emoji1787]

Nyie endeleeni kujisifia tu baasi
Hapana Mkuu witnessj Mimi nilioa huko miaka mingi imepita. Ninawafahamu wachagga mno na ukweli maisha yangu na ndugu zangu yalibadilika baada ya kuoa uchagani. Nilishalisemea sana hili jambo.
 
Tutajie viwanda vya wachaga
 
Ha ha ila sasa wamezidisha mzee, the hype ila ni vizuri kwa uchumi wa mkoa na nchi, wanaemda kutoboka huko tena vibaya mno...nadhani huu utamaduni udumishwe kwa makabila yote, December kila mtu arudi kwao tubaki wakimbizi tuu mijini

Kuna namna fulani kama kuna favors ulizokuwa unapata zikibanwa kidogo unajaribu kumwonesha yule mbanaji kwamba bado uko fit.

Swala la kwenda home kipindi cha holiday ni swala zuri sana, lakini ni kama tamaduni.
 
Kuna watu wananuna! Aliyekutangulia katutangulia tu usipokubali hiyo tunaita Wivu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…