Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Wachagga kama Wachagga kujisifia ni jambo lingine ila mtu mwenye jamii yake inamtegemea kukaa humu kusifia Wachagga kiasi hiki speaks alot about himself personally!
Wewe ni mmoja wa wale wanaowachukia wachagga. Kifupi walishatupita kitambo. Nashukuru acha niendeleee kuwalamba maana huko nimeunga ukoo na wakanipa the biggest brains ambazo zote zilikuwa top ten kitaifa na sasa ni wataalam grade I nje ya nchi. Acha nijidai. Great the Chaggas. Hongera my dearest mama Bahati. Hata sielewi lengo lako.
 
Mzee ndio maana ulikwenda kuopoa huko?
 
Mimi mwenyew nawashangaa Sana.watu wanaosifia makabila ya watu wakati ya kwao yapo.


Ukiingia kwenye nyuzi za kusifia wachaga . Watu wa bukoba ( wahaya) na kidogo sukuma ndo pekee hubishana na kuwachallenge wachaga but wengine wote hubaki kusifia sifia Tu kama vile ni miungu vile.
Mbona tz kuna makabila mengi Tu yamepiga hatua na baadhi yapo vzr Tu

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji36][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]


Makiseo
Simara
Dinazarde
Shunie
Jabari XVI
Chige
 
Ha ha ha mhaya mwenyewe umetia timu

Jeshi la mtu mmoja[emoji123]
 
Haaaaahaaaaahaaaaa

Haaahaaaahaaaa

[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1][emoji1]

Yaan njoeni mnikande mbavu zangu jamani aaaaagh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23] huhuhu
 
" akipewa divorce na manka anavua chupi anavaa kichwani " [emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]
 
Haaahaaaa [emoji16][emoji16][emoji16] best unanipaga rahaa
 

Well said kaka wanamshikamano sana hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…