Hoja ya ukabila au ukanda sio valid hapa....
Hao hao wa kwenu watadai "umewabagua" kwa kuchukua demu wa mbali
Na pia demu wa mbali ukimuacha ukaoa wa kwenu,watakuita na wewe mbaguzi
Ishu yangu hapa,hii hoja ya "ubaguzi" unayotaka kujikinga nayo haina applications yeyote!
Ishu ni walao kutoa upendeleo kwa wa unakotoka kwanza ,ukikosa ndio uchukue pengine
Ishu ya kusema kuheshimu Wachagga ,wewe hueshimu,unalamba matako kabisa unakula na mavi....Heshimu kwenu kwanza ndio uheshimu Wachagga thereafter...Wewe unaenda kinyume chake
Jamii zingine hazipo stationary na zenyewe zina improve over time,zinakusanya wealth na zinakua na surplus as time goes on,na pia elimu wana improve miaka inavyokwenda
The gap between makabila TZ kimaendelo yanazidi kupunguzwa miaka inavyozidi kwenda
Fun fact ni kwamba,mimi Mchagga,ila unayoonesha hapa mpaka nimeona aibu mimi,such a low shit showing unayofanya!Jamii yako itakua ina feel ashamed na wewe
Si kweli
Umewapenda baada ya kusikia sifa zao...Huu uongo unaonidanganya hapa eti ni "upendo" ni pure nonsense,hakuna mtoto mdogo hapa.
Ulitoa nafasi kwa wa kwenu kwanza?Hukutoa......
Wewe kwavile upo overwhelmed na sifa za Wachagga of which nyingi naona ni uongo ukaona directly hawa hawa wananifaa
Na wewe kua na maendeleo pamoja na familia yako ni selfish move maana huoni kabila zima uliloliacha nyuma ambalo ni limechoka vibaya mno na lilikua linakutegemea wewe ukakimbilia uzunguni kwa Wachagga ili ujiokoe wewe na hicho kifamilia chako?
Na pia sio wewe na ndugu zako WOTE..sio WOTE eti mna maisha mazuri...ni wewe na mke wako na watoto tu...hakuna zaidi ya hapo eti wana maisha mazuri yaliyotokea baada ya kuona "Wachagga"...
Shida ni kwamba una claim maisha yako na ndugu zako WOTE wana maisha mazuri sasa baada eti ya wewe kuoa "Mchagga",inaonesha kumbe wewe ni mkabila wa ajabu.kwamba bila huyo mwanamke wa Kichagga basi makabila mengine ni sifuri?
Inaonesha ulivyo na self esteem na origin yako na watu wako kwamba hawana uwezo wa kufanikiwa mpaka "waoe" Wachagga kama unakenua mimeno hapa..
Hii ni very very dangerous way of thinking and your ancestors are turning in their graves!
Still unaonesha how weak all of you are!
Inaonesha msingeweza kua na maisha imara bila kuoa hawa wanadamu ambao infact ni wanadamu kama nyie na mna akili kama wao with everything...
Hii ndio tunaita Master Worshipping Syndrome...
Yaani dream ya mafanikio kwenu ni mpaka UOE Mchagga?
Kwahiyo Wachagga kwenu ni saviors?Msingeoa Wachagga msingeweza kuishi na kufanikiwa kama wanadamu?
Ndio maana hawa Wachagga wanawadharau sana aisee..still hii mentality ni ya hovyo sana
Mnaonekana nyie ni matumwa ya Wachagga....Sijui unafundisha nini watoto wako?
Mpaka karne hii,mentality ya kufanikiwa kimaisha ni mpaka UOE kabila fulani lililoendelea?
Yaani upo chini kiwango hiki?Yaani marriage kwako ndio tiketi ya kufanikiwa maishani?
Ndio unafundisha wanao huu ujinga?
Ndio maana mnatemewaga mate and still mnajikombeleza namna hii....
You niggas are disgrace with this kind of thinking