Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Wachagga kama Wachagga kujisifia ni jambo lingine ila mtu mwenye jamii yake inamtegemea kukaa humu kusifia Wachagga kiasi hiki speaks alot about himself personally!
Wewe ni mmoja wa wale wanaowachukia wachagga. Kifupi walishatupita kitambo. Nashukuru acha niendeleee kuwalamba maana huko nimeunga ukoo na wakanipa the biggest brains ambazo zote zilikuwa top ten kitaifa na sasa ni wataalam grade I nje ya nchi. Acha nijidai. Great the Chaggas. Hongera my dearest mama Bahati. Hata sielewi lengo lako.
 
Lindi Wana fukwe but Wana international airport?Watalii wanaenda kwao direct?

Geita Wana dhahabu but airport ndo kwanza
Imejengwa juzi huko chato..

Nimesema shule za secondary zaidi ya 200
Alizoacha mkoloni Kilimanjaro..wakati
Tanga zilikua mbili..Lindi sijui moja..
Mzee ndio maana ulikwenda kuopoa huko?
 
Aiseee

This is very sad attitude you are showing

Mtu kua na maendeleo sio tena maarifa,biashara,ujuzi,kufanya kazi kwa bidii na kufanya savings?

Imekua ni KUOA Mchagga ndio tiketi ya kupata maendeleo?

Yaani wewe wazazi wako walikufundisha kuendelea sio kusoma na kupata maarifa na kufanya biashara na kufanya savings bali ni KUOA kabila fulani?

Sasa wewe una tofauti gani na wale wasichana zamani walikua wanaambiwa wakitaka kufanikiwa waolewe na wanaume wenye hela na magari na manyumba?

Kuna tofauti yeyote hapo?

Mkuu,kama mwanaume,tunaamini maendeleo hayaji kwa ndoa,yanakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kufanya savings

Yaani mpo weak sana as society kama ndio mnawaza huu upumbavu

Kwahiyo always utakua mtumwa wa Wachagga kama ni hivi...ndio maana unawalamba matako na kuwaogopa kiasi hiki

I wonder huyo mwanamke akitoa divorce ni lazima ukaokote makopo maana hakuna kitu kingine cha maana utabaki nacho

Huna namna lazima ulambe matako ya huyo mwanamke kwa kiwango cha ajabu sana

Mimi natoka Moshi huko huko unakowalamba matako,binti yangu siku ananiletea kijana wa kumuoa halafu huyo kijana nikasikia anasifia Wachagga namna hii ningefukuza kabisa

Huyo si mwanaume ni takataka,mwanaume asieweza kusimama mwenyewe kuleta maendeleo bila kulamba mtu matako huyo si mwanaume ni mwanamke kama binti yangu..

Hii ni disgrace kabisa

Watoto wako hawana baba kabisa hapo,wana mwanamke aliechangamka

Haiwezekani baba wa nyumba unaongea na wanao kila siku unasifia nyumbani kwa mama yao kama mtumwa vile huelezi uzuri na origin ya jamii ya baba yao,itabidi washike vichwa kwa huzuni sana....Hawana baba wana cheerleader wa praising team ya Wachagga badala ya kusemea kwao ancestors wao wanapotoka japo hapana lami kama Uchaggani

Tuna watu useless mno dunia hii
Hoja ya ukabila au ukanda sio valid hapa....

Hao hao wa kwenu watadai "umewabagua" kwa kuchukua demu wa mbali

Na pia demu wa mbali ukimuacha ukaoa wa kwenu,watakuita na wewe mbaguzi

Ishu yangu hapa,hii hoja ya "ubaguzi" unayotaka kujikinga nayo haina applications yeyote!

Ishu ni walao kutoa upendeleo kwa wa unakotoka kwanza ,ukikosa ndio uchukue pengine

Ishu ya kusema kuheshimu Wachagga ,wewe hueshimu,unalamba matako kabisa unakula na mavi....Heshimu kwenu kwanza ndio uheshimu Wachagga thereafter...Wewe unaenda kinyume chake

Jamii zingine hazipo stationary na zenyewe zina improve over time,zinakusanya wealth na zinakua na surplus as time goes on,na pia elimu wana improve miaka inavyokwenda

The gap between makabila TZ kimaendelo yanazidi kupunguzwa miaka inavyozidi kwenda

Fun fact ni kwamba,mimi Mchagga,ila unayoonesha hapa mpaka nimeona aibu mimi,such a low shit showing unayofanya!Jamii yako itakua ina feel ashamed na wewe

Si kweli

Umewapenda baada ya kusikia sifa zao...Huu uongo unaonidanganya hapa eti ni "upendo" ni pure nonsense,hakuna mtoto mdogo hapa.

Ulitoa nafasi kwa wa kwenu kwanza?Hukutoa......

Wewe kwavile upo overwhelmed na sifa za Wachagga of which nyingi naona ni uongo ukaona directly hawa hawa wananifaa

Na wewe kua na maendeleo pamoja na familia yako ni selfish move maana huoni kabila zima uliloliacha nyuma ambalo ni limechoka vibaya mno na lilikua linakutegemea wewe ukakimbilia uzunguni kwa Wachagga ili ujiokoe wewe na hicho kifamilia chako?

Na pia sio wewe na ndugu zako WOTE..sio WOTE eti mna maisha mazuri...ni wewe na mke wako na watoto tu...hakuna zaidi ya hapo eti wana maisha mazuri yaliyotokea baada ya kuona "Wachagga"...

Shida ni kwamba una claim maisha yako na ndugu zako WOTE wana maisha mazuri sasa baada eti ya wewe kuoa "Mchagga",inaonesha kumbe wewe ni mkabila wa ajabu.kwamba bila huyo mwanamke wa Kichagga basi makabila mengine ni sifuri?

Inaonesha ulivyo na self esteem na origin yako na watu wako kwamba hawana uwezo wa kufanikiwa mpaka "waoe" Wachagga kama unakenua mimeno hapa..

Hii ni very very dangerous way of thinking and your ancestors are turning in their graves!

Still unaonesha how weak all of you are!

Inaonesha msingeweza kua na maisha imara bila kuoa hawa wanadamu ambao infact ni wanadamu kama nyie na mna akili kama wao with everything...

Hii ndio tunaita Master Worshipping Syndrome...

Yaani dream ya mafanikio kwenu ni mpaka UOE Mchagga?

Kwahiyo Wachagga kwenu ni saviors?Msingeoa Wachagga msingeweza kuishi na kufanikiwa kama wanadamu?

Ndio maana hawa Wachagga wanawadharau sana aisee..still hii mentality ni ya hovyo sana

Mnaonekana nyie ni matumwa ya Wachagga....Sijui unafundisha nini watoto wako?

Mpaka karne hii,mentality ya kufanikiwa kimaisha ni mpaka UOE kabila fulani lililoendelea?

Yaani upo chini kiwango hiki?Yaani marriage kwako ndio tiketi ya kufanikiwa maishani?

Ndio unafundisha wanao huu ujinga?

Ndio maana mnatemewaga mate and still mnajikombeleza namna hii....

You niggas are disgrace with this kind of thinking
Mimi mwenyew nawashangaa Sana.watu wanaosifia makabila ya watu wakati ya kwao yapo.

Ukiingia kwenye nyuzi za kusifia wachaga . Watu wa bukoba ( wahaya) na kidogo sukuma ndo pekee hubishana na kuwachallenge wachaga but wengine wote hubaki kusifia sifia Tu kama vile ni miungu vile.
Mbona tz kuna makabila mengi Tu yamepiga hatua na baadhi yapo vzr Tu

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji36][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]

Makiseo
Simara
Dinazarde
Shunie
Jabari XVI
Chige
 
Mimi mwenyew nawashangaa Sana.watu wanaosifia makabila ya watu wakati ya kwao yapo.

Ukiingia kwenye nyuzi za kusifia wachaga . Watu wa bukoba ( wahaya) na kidogo sukuma ndo pekee hubishana na kuwachallenge wachaga but wengine wote hubaki kusifia sifia Tu kama vile ni miungu vile.
Mbona tz kuna makabila mengi Tu yamepiga hatua na baadhi yapo vzr Tu

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha mhaya mwenyewe umetia timu

Jeshi la mtu mmoja[emoji123]
 
Hoja ya ukabila au ukanda sio valid hapa....

Hao hao wa kwenu watadai "umewabagua" kwa kuchukua demu wa mbali

Na pia demu wa mbali ukimuacha ukaoa wa kwenu,watakuita na wewe mbaguzi

Ishu yangu hapa,hii hoja ya "ubaguzi" unayotaka kujikinga nayo haina applications yeyote!

Ishu ni walao kutoa upendeleo kwa wa unakotoka kwanza ,ukikosa ndio uchukue pengine

Ishu ya kusema kuheshimu Wachagga ,wewe hueshimu,unalamba matako kabisa unakula na mavi....Heshimu kwenu kwanza ndio uheshimu Wachagga thereafter...Wewe unaenda kinyume chake

Jamii zingine hazipo stationary na zenyewe zina improve over time,zinakusanya wealth na zinakua na surplus as time goes on,na pia elimu wana improve miaka inavyokwenda

The gap between makabila TZ kimaendelo yanazidi kupunguzwa miaka inavyozidi kwenda

Fun fact ni kwamba,mimi Mchagga,ila unayoonesha hapa mpaka nimeona aibu mimi,such a low shit showing unayofanya!Jamii yako itakua ina feel ashamed na wewe

Si kweli

Umewapenda baada ya kusikia sifa zao...Huu uongo unaonidanganya hapa eti ni "upendo" ni pure nonsense,hakuna mtoto mdogo hapa.

Ulitoa nafasi kwa wa kwenu kwanza?Hukutoa......

Wewe kwavile upo overwhelmed na sifa za Wachagga of which nyingi naona ni uongo ukaona directly hawa hawa wananifaa

Na wewe kua na maendeleo pamoja na familia yako ni selfish move maana huoni kabila zima uliloliacha nyuma ambalo ni limechoka vibaya mno na lilikua linakutegemea wewe ukakimbilia uzunguni kwa Wachagga ili ujiokoe wewe na hicho kifamilia chako?

Na pia sio wewe na ndugu zako WOTE..sio WOTE eti mna maisha mazuri...ni wewe na mke wako na watoto tu...hakuna zaidi ya hapo eti wana maisha mazuri yaliyotokea baada ya kuona "Wachagga"...

Shida ni kwamba una claim maisha yako na ndugu zako WOTE wana maisha mazuri sasa baada eti ya wewe kuoa "Mchagga",inaonesha kumbe wewe ni mkabila wa ajabu.kwamba bila huyo mwanamke wa Kichagga basi makabila mengine ni sifuri?

Inaonesha ulivyo na self esteem na origin yako na watu wako kwamba hawana uwezo wa kufanikiwa mpaka "waoe" Wachagga kama unakenua mimeno hapa..

Hii ni very very dangerous way of thinking and your ancestors are turning in their graves!

Still unaonesha how weak all of you are!

Inaonesha msingeweza kua na maisha imara bila kuoa hawa wanadamu ambao infact ni wanadamu kama nyie na mna akili kama wao with everything...

Hii ndio tunaita Master Worshipping Syndrome...

Yaani dream ya mafanikio kwenu ni mpaka UOE Mchagga?

Kwahiyo Wachagga kwenu ni saviors?Msingeoa Wachagga msingeweza kuishi na kufanikiwa kama wanadamu?

Ndio maana hawa Wachagga wanawadharau sana aisee..still hii mentality ni ya hovyo sana

Mnaonekana nyie ni matumwa ya Wachagga....Sijui unafundisha nini watoto wako?

Mpaka karne hii,mentality ya kufanikiwa kimaisha ni mpaka UOE kabila fulani lililoendelea?

Yaani upo chini kiwango hiki?Yaani marriage kwako ndio tiketi ya kufanikiwa maishani?

Ndio unafundisha wanao huu ujinga?

Ndio maana mnatemewaga mate and still mnajikombeleza namna hii....

You niggas are disgrace with this kind of thinking
Haaaaahaaaaahaaaaa

Haaahaaaahaaaa

[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1][emoji1]

Yaan njoeni mnikande mbavu zangu jamani aaaaagh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu

Actually huu ni ugonjwa wa akili unaitwa "master worship"

Yeye kikwake Master Society yake ni Wachagga,yeye anaamini society yake ni weaker hivyo ubongo wake utamtuma aabudu jamii anayofikiria ni stronger zaidi ya jamii yake

Yaani yeye ubongo wake unatafsiri kwamba amezaliwa kwenye jamii aliyopo kimakosa,atasifia na kulamba matako ya jamii kubwa kadiri anavyoweza kujikombeleza nao akidhani by induction yeye ni wa jamii hiyo anayoitamani kumbe si kweli...

Ndio kama hivi,kulamba matako tu haikutosha kaamua kuoa kabisa ili walao azae vitoto 50% Vichagga kufidia yeye kutokua Mchagga...

Ugonjwa huu upo sana na ni mbaya kiasi kwamba ndio unaofanya makabila makubwa kumeza makabila madogo

Huyu kakana kwao kabisa anajiekti eti nae Mchagga.....

Yaani hii dunia ina maajabu sana!
[emoji1787][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23] huhuhu
 
Mkuu

Ni weak people mentally ndio wapo hivo....

Wanajiona wamezaliwa kwenye jamii zao kama ni aibu vile na ni bahati mbaya..

Ni watu wa hovyo sana...na infact sio watu wa kutegemewa.....ni master worshippers

They feel ashamed kua watu wa jamii fulani..ni very very sad

Wanatakiwa waambiwe kweli,wajipe self esteem wawe watu wenye confidence wapende jamii zao zilizowazaa

Ni ajabu sana kuna mtu humu anasema eti wao kwao ili afanikiwe maisha yake sio tena elimu au ujuzi au kufanya kazi na biashara kwa ujuzi bali eti ni kwa "kuoa" au "kuolewa" na Wachagga!

Yaani hii ni hatari sana,maana maisha yao yameshikwa na hizi ndoa,yaani akipewa divorce anakufa au kuokota makopo

So shameful aisee...nimeshangaa mno!
" akipewa divorce na manka anavua chupi anavaa kichwani " [emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]
 
Mavichaa hayo nayajua

Hua yanadharaulikaga sana na akina Manka

Yapo very weak,yanaamini ndoa ndio gateway yao kufanikisha maisha,divorce ndio kifo chao

Ni Ma-marioo haya ya kulelewa,ndio all they are!

Kila saa Wachagga miungu this,Wachagga miungu that....

Wanaacha wasichana wa kwao very beautiful na wana adabu sana,anakimbilia dharau za Manka,na ni maajabu wanatemewaga mate yanameza!

Just soma hii thread vizuri uone haya mavichaa yalivyojaa
Haaahaaaa [emoji16][emoji16][emoji16] best unanipaga rahaa
 
Tuache wivu na majungu.
Hao jamaa wa huko North Tz wako vizuri kuanzia life la wazee wao huko village mpaka life lao huku mijini.
Tuache wajivunie, wafurahie na kutupa challenge na sisi wengine tuliokimbia kwetu.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Well said kaka wanamshikamano sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom