PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

We nenda na gari paki pale chalinze.....
Ukifatwa na mtu akikuambia kuna Box za kubeba juwa hao ni wahamiaji haramu wanatakiwa kubebwa πŸ˜„
Huu mtandao ni mrefu sana mzee unaanzia mbali
Ukiwa ndani mule maporini wana vituo vyao

Ova
Kabisa ni mtandao wa kimafia na hapo utakuta tu maboss wamechomana
 
Aisee,maisha haya πŸ™Œ
 
We nenda na gari paki pale chalinze.....
Ukifatwa na mtu akikuambia kuna Box za kubeba juwa hao ni wahamiaji haramu wanatakiwa kubebwa πŸ˜„
Huu mtandao ni mrefu sanamzee unaanzia mbali
Ukiwa ndani mule maporini wana vituo vyao

Ova
Ila bongo wanakamata sana. Hao wakishavuka bongo huko kwingine wanapita tu hadi kufika South. Lakini wahamiaji nao wangetumia hayo mamilioni kufanya shughuli zao huko kwao. Na pia wangeweza kupita tu kihalali. Nawakubali sana waburundi. Wao hupita kihalali hadi SA
 
We nenda na gari paki pale chalinze.....
Ukifatwa na mtu akikuambia kuna Box za kubeba juwa hao ni wahamiaji haramu wanatakiwa kubebwa πŸ˜„
Huu mtandao ni mrefu sana mzee unaanzia mbali
Ukiwa ndani mule maporini wana vituo vyao

Ova
mabasi yanakula ruaha mbuyuni, mitaa ya iyovi nako kuna chimba dawa na chakula Kwa matraveller na huezi kujua, lakini hela Kwa hao jamaa ipo watu wa namanga, kyela, tunduma wanapiga hizo mishe sana
 
Ethiopia kuna tatizo kubwa kuliko letu kwenye utoaji passport

Raia wa Ethiopia kupata passport ni kama kwenda mbinguni ndio maana wengi wako tayari kutafuta fursa nje ya nchi lakini serikali haiwapi passport

Hela si unaona wanazo wangesafiri hata kwa ndege au basi comfortably na bila ku risk maisha yao

Ethiopia ajira hamna halafu na wananchi wakitaka passport huwapi ndio wanaamua kusafiri kwa taabu hivyo bila passport na risk kubwa na gharama ya fedha kubwa kuliko wangesafiri kawaida

Ethiopia hawana huruma na raia wake
Uchoyo wa kutoa passport unaumiza watoto watu wanaotaka kutafuta maisha nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…