Jiulize kwanini hajavaa viatu ndo utajua walikuwa wananyanyaswaUkiingalia hii picha vizuri ndivyo unavyopata kuujua ukweli.... Wale waliokuwa wanasema wakaazi wa Zanzibar kipindi hicho walikuwa wakiteswa na kufanywa watumwa hapo katika hiyo picha tunajionea mtu mweusi tena akiwa huru kabisa!
si ukute ameshavuta.Alafu bibi sijamuona kitamboo hivi yupo au kanogewa na visheti na halua huko alipo?
Wananyanyaswa kwa kuambiwa wasivae viatu au vipi? Inamaanisha akina Abedi Karume walipokwenda London mwaka 1957 walifundishwa kuvaa viatu airport au?Jiulize kwanini hajavaa viatu ndo utajua walikuwa wananyanyaswa
Tena kuna na makabila yanajinasibu kabisa, lakini ndiyo hivyo nyani haoni ku...le.Kama walivyotengenezwa wazungu weusi.
Waasia wengi babu zao waliingia na idea za biashara. Waliuza meno ya tembo, madini na ngozi za wanyama na waliingiza sukari, nguo, mchele, unga wa ngano, sabuni na mafuta yote.
Kina mirambo, kimweri, mkwawa,, wote walupigana bega kwa bega na utawala wa sultani dhidi ya mjerumaniWw acha kutetea hao watu hujui mababu zetu walichopitia kwao..
Mapinduzi na yaheshimiwe.
Wenzako tangu 1820 wanaangalia CNN[emoji23][emoji23]Hawa wavaakobazi hata akili hua hawana..hata historia hajui..sasa utategemea kipi cha maana kwao zaidi ya uharo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni mtu yuko peku wakati wengine wana viatu?
NdagaKijana wa kizanzibar nimetulia mbeya huku nakula maparachichi sina tyme na mtu[emoji28][emoji28]