Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

Ukiingalia hii picha vizuri ndivyo unavyopata kuujua ukweli.... Wale waliokuwa wanasema wakaazi wa Zanzibar kipindi hicho walikuwa wakiteswa na kufanywa watumwa hapo katika hiyo picha tunajionea mtu mweusi tena akiwa huru kabisa!
Jiulize kwanini hajavaa viatu ndo utajua walikuwa wananyanyaswa
 
Itoshe tu kusema watu weusi bongo zao bado zimelala. Wanashindana sasa hivi kutafuta kiki za PhD wakati Waafrika wenye asili ya Asia wanazidi kutanua mizizi yao ya kiuchumi
Waasia wengi babu zao waliingia na idea za biashara. Waliuza meno ya tembo, madini na ngozi za wanyama na waliingiza sukari, nguo, mchele, unga wa ngano, sabuni na mafuta yote.
 
Ww acha kutetea hao watu hujui mababu zetu walichopitia kwao..
Mapinduzi na yaheshimiwe.
Kina mirambo, kimweri, mkwawa,, wote walupigana bega kwa bega na utawala wa sultani dhidi ya mjerumani
 
Back
Top Bottom