antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Inasikitisha sana 😢
Kelele tu hizo wala hazimdhuru yeyote na mtaishia kulalamika nanhakuna la kutokea hasa kwenu ingekuwa nchi nyingine labda ila hapo tz mnaishia kulalamika tu mitandaoni.Wewe ni nani wa kutupangia.
Kiherehere ulichonacho ni kwa sababu hujui ni lini mtapewa haki yenu. Na hayo ndiyo mateso makubwa yanayowakabili wakati huu.
Hizo kelele ndizo zinazokupa wewe uharo; na Samia mwenyewe hali inazidi kumuwia ngumu zaidi!Kelele tu hizo wala hazimdhuru yeyote na mtaishia kulalamika nanhakuna la kutokea hasa kwenu ingekuwa nchi nyingine labda ila hapo tz mnaishia kulalamika tu mitandaoni.
Hali inazidi kuwa ngumu ilihali ana zidi kuchanja mbuga? Au ndio mnavyo farijiana huko vijiweni?Hizo kelele ndizo zinazokupa wewe uharo; na Samia mwenyewe hali inazidi kumuwia ngumu zaidi!
Umepewa kazi ya kumfariji kwa upuuzi unaoweka humu halafu kazi yenyewe kumbe huiwezi!
Zitakuwa hazikutoshi kichwani kama unaona kuwa Samia "anachanja mbuga"!Hali inazidi kuwa ngumu ilihali ana zidi kuchanja mbuga? Au ndio mnavyo farijiana huko vijiweni?
Amka wewe utajinyea maana hiyo ndoto unako elekea utaomba maji ya kwendea chooni sio mudaZitakuwa hazikutoshi kichwani kama unaona kuwa Samia "anachanja mbuga"!
Samia yupo kwenye hali ngumu sana, hata kabla hajafikiwa moja kwa moja.
Ni wazi kwamba wewe ni nguruwe tu unayefugwa na huyo mtu mwovu kabisa, Samia Suluhu hassan.Amka wewe utajinyea maana hiyo ndoto unako elekea utaomba maji ya kwendea chooni sio muda
Wanadanganyana tuu game ziko pale paleNimeona hii ID yako daah.. last week nlikua motherland.. story nazikuta mtaa ni kwamba hakuna mechi ya AFCON itachezwa Arusha
Unajjuwa aliyesababisha hayo?
Kelele za churaaaaaa............! Malizia basi ....Ni wazi kwamba wewe ni nguruwe tu unayefugwa na huyo mtu mwovu kabisa, Samia Suluhu hassan.
Unachofanya hapa ni hofu ya kupoteza masalia ya chakula anachokutupia Samia.
Kwa nini usimpelekee "chura kiziwi" amalizie mwenyewe; au huna ukaribu naye kwa vile wewe ni nguruwe mfugwaji tu?Kelele za churaaaaaa............! Malizia basi ....
Swali hili kwa sisi watanzania jibu lake bado ni kitendawili maana mpaka sasa nchi inajiendea tu bora liendeWao wataendelea kupumzika kwa amani. Swali: Je, tuliobaki hai tunachukua maamuzi gani?
Punguza jazba maisha haya hayataki hasiraKwa nini usimpelekee "chura kiziwi" amalizie mwenyewe; au huna ukaribu naye kwa vile wewe ni nguruwe mfugwaji tu?
Kifupi mlio baki hai hamna mamuz yeyote ya kuchukua ni kukaa na kutulia muendelee kuletewa maendeleoWao wataendelea kupumzika kwa amani. Swali: Je, tuliobaki hai tunachukua maamuzi gani?
Hata hadhi ya unguruwe uliyonayo unaidhalilisha kwa maoni ya kipumbavu kama haya.Kifupi mlio baki hai hamna mamuz yeyote ya kuchukua ni kukaa na kutulia muendelee kuletewa maendeleo
Hii ni misemo ya kilaghai anayotumia Samia Suluhu Hassan.Punguza jazba maisha haya hayataki hasira
Hao walikuwa ni mamluki toka nchini Zenji.Hivi hawa wahuni Hamna hata mmoja anayewafahamu wanapokaa ili sisi wazalendo tukawashughulikie?