Hiki kikosi cha hawa watu walio fanya mauwaji ya kinyama na kikatili kabisa ya watanganyika 29 oktoba 2025 kinafahamika vyema na hawa watu:-
SAMIA.
KIKWETE.
MKUNDA.
WAMBURA.
MURILO.
MAFWELE.
Wanafahamiana vyema sana ndio maana kumekuwa na ukimya juu ya hili jambo tangu limetokea.
Na kwa hili kila mmoja damu hizo zitamsumbua kabla hajaionja mauti hata kama kwa sasa wamekunywa dawa za kuondoa kumbukumbu ili lisiwatese kwa sasa lakini zitaisha na watateseka kila mmoja kwa wakati wake kama alivyo teseka Mkapa kwa aliyo yafanya Zanzibar