Sasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Acha kubuni vituSasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Kwakuwa naye anakulaKusema kila mtu ale urefu wa kamba yake ilikuwa makosa sana
Mlango tu wa kujustify failure za treni kuzimikazimika hovyo, wanajua watanzania ni viazi so wakizua vidrama vidogovidogo kama hivi watasahau na kufuata yao, kama yanga na simba tu. Mradi wa matrilioni uhujumiwe na hicho kimzigo cha kilo 5? Pathetic
Yote ni maovu tu. ila huwezi kuvilinganisha.ukasema ni sawa kung'oa nyaya za umeme wa kuendeshea treni kwa sababu watawala wanaiba hela za uma hawakamatwi utakuwa umepotoka pakubwa.ukiambiwa ulete ushahidi huo wa kikwete kuibia nchi gesi unao? Nadhani hii ni kujaribu kupunguza makali ya taarifa ya uharifu.Huwezi kusema kibaka anayeiba kuku aachwe kwa sababu kuna wanasiasa wanaoiba mabilioni hawakamatwi.Hayo ni mawazo ya kipuuzi.kila uhalifu lazima ushughulikiwe kikamilifu.Unaweza usifahamu anayehujumu reli anakuhujumu wewe binafsi,sababu hela zile ni kodi ya wananchi.serikali imekopa ila tunalipa sisi wanachi wote.ilmradi kuna kitu chochote unanua,basi huko ndanu kuna kodi inayotumika kulipia mkopo wa ujenzi wa SGR.Sasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687
Watu kama hawa ikidhibitishwa ndo wa kutekwa asubuhi tena mbele za watu na hakuna atakayelalamika.Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687View attachment 3148688
Utaua wengi, cha kufanya ni kutoa elimu kwanza kama vile tulivyoambiwa kuhusu katiba.Waweke fensi ya volt 400
Wewe una wivu. Kuwa mzalendo na wewe ili utetewe hata kama umebakiKila kitu angekuwepo magufuli,ndio ayupo sasa tunafanyaje??! Mnapenda kuabudu binadamu wenzenu,utadhani Magufuli ndio alipigania uhuru wa hii nchi,
Serikali inafanya kazi kwa utaratibu sio kukurupuka wakateswa hdi wasiohusika,angekuwepo huyo unaemtaja lawama zote angeelekeza kwa wenye mabus bila kufanya uchunguzi
Kwakuwa naye anakula