Hongera sana Ray C. Mnambeza mgahawa wa kwenu uko wapi? Mwanzo wa makubwa ni madogo. Kwa mafisadi wanaanzia pakuba. Mbuzi mee nyie. Hongera sana dada yetu Ray C kazi umeanza tuko nyuma yako tutakusapoti.
Malkia I missed u
Nahtaj kuuona huo Uzi Wa invited jamani
I missed a lot
Wewe ni nyokoooooooo maninaaaa, ni shidaaaaaa hahaha ahahh
karibu mkuu cha Jamaica ndo kinaishilia hivyo
Hongera sana Ray C. Mnambeza mgahawa wa kwenu uko wapi? Mwanzo wa makubwa ni madogo. Kwa mafisadi wanaanzia pakuba. Mbuzi mee nyie. Hongera sana dada yetu Ray C kazi umeanza tuko nyuma yako tutakusapoti.
Yaani nimesomaaaaaa weeeeeeee.....ile nataka ku-reply sioni kitu....basi nimeshinda asubuhi nzima sina raha...umbea umenikamata, donge limekaa rohoni.
Hapa no shobo, wakileta shobo, wataambulia shombo
I love u tooooo mwaaaaaaaaahhhhh
Hehehehe wapinzani hawalali kama Popo
Moto mkali mrembo by nature warumi n madame b ni timu "nyok.o"
We nawe hueleweki, uzi wa Lucy unautaka, uzi wa Invited nao unautaka, WHICH IS WHICH? (kwa msisitizo)....unakuwa hueleweki utafikiri uchi wa mwanamke....akichuchumaa uko chini,akilala uko kati, akiinama uko nyuma.....
Eleweka kama maharage ya Mbeya, Maji mara moja
***** ukitoka lazima utambae , ahahahahahaha
Kwi kwi kwi kwi kwi!!!, nyie watu ni shidaaa apa town
Wanakwambia popo kanyea mbingu
Wanakwambia popo kanyea mbingu
hahahaaaaaaaaaa!Yaani nimesomaaaaaa weeeeeeee.....ile nataka ku-reply sioni kitu....basi nimeshinda asubuhi nzima sina raha...umbea umenikamata, donge limekaa rohoni.
Hapa no shobo, wakileta shobo, wataambulia shombo
Hahahahaha mbavu zangu zikivunjika tunagawana zako
U know I want both of them aisee honestly I can't choose so plz Fanya mambo
Acha uchoyooooooooo
Ahahahaha pite kule Samora fasta, nina ubuyu wa haja