Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Hongera sana Ray C. Mnambeza mgahawa wa kwenu uko wapi? Mwanzo wa makubwa ni madogo. Kwa mafisadi wanaanzia pakuba. Mbuzi mee nyie. Hongera sana dada yetu Ray C kazi umeanza tuko nyuma yako tutakusapoti.

Kamq ungemjua the real ray c
Aliyekua na mtaa Kkoo plus maduka ya kutosha usingekuja kuleta mavi haya
 
Malkia I missed u
Nahtaj kuuona huo Uzi Wa invited jamani
I missed a lot

We nawe hueleweki, uzi wa Lucy unautaka, uzi wa Invited nao unautaka, WHICH IS WHICH? (kwa msisitizo)....unakuwa hueleweki utafikiri uchi wa mwanamke....akichuchumaa uko chini,akilala uko kati, akiinama uko nyuma.....
Eleweka kama maharage ya Mbeya, Maji mara moja
 
Hongera sana Ray C. Mnambeza mgahawa wa kwenu uko wapi? Mwanzo wa makubwa ni madogo. Kwa mafisadi wanaanzia pakuba. Mbuzi mee nyie. Hongera sana dada yetu Ray C kazi umeanza tuko nyuma yako tutakusapoti.

Kama kweli we mwanaume...njoo na ID yako ya zamani....pumbu we.
Mbuzi mwenyewe
 
Yaani nimesomaaaaaa weeeeeeee.....ile nataka ku-reply sioni kitu....basi nimeshinda asubuhi nzima sina raha...umbea umenikamata, donge limekaa rohoni.
Hapa no shobo, wakileta shobo, wataambulia shombo

Kwi kwi kwi kwi kwi!!!, nyie watu ni shidaaa apa town
 
We nawe hueleweki, uzi wa Lucy unautaka, uzi wa Invited nao unautaka, WHICH IS WHICH? (kwa msisitizo)....unakuwa hueleweki utafikiri uchi wa mwanamke....akichuchumaa uko chini,akilala uko kati, akiinama uko nyuma.....
Eleweka kama maharage ya Mbeya, Maji mara moja

Hahahahaha mbavu zangu zikivunjika tunagawana zako
U know I want both of them aisee honestly I can't choose so plz Fanya mambo
Acha uchoyooooooooo
 
Hehehehe wapinzani hawalali kama Popo
Moto mkali mrembo by nature warumi n madame b ni timu "nyok.o"

Tumekuja kuwashikaaaaaaaaa, hii timu ni noma africa mashariki nzima mamayeeeee watu majasho yanawatoka
 
Yaan michambo yake ni ya taratibu inachomajee,kumbe mi bado kinda bana ngoja niwaachie wakubwa, mim mtoto bado unajua nimeyawah majukumu mapema tu

Ahahahaha pite kule Samora fasta, nina ubuyu wa haja
 
Kwi kwi kwi kwi kwi!!!, nyie watu ni shidaaa apa town

Hapa ndo mjini....kila mtu na ngomaye.
Watu tumeshajichokea na maisha wao wanaleta ashuo la beberu...kutuachia vumba
 
Yaani nimesomaaaaaa weeeeeeee.....ile nataka ku-reply sioni kitu....basi nimeshinda asubuhi nzima sina raha...umbea umenikamata, donge limekaa rohoni.
Hapa no shobo, wakileta shobo, wataambulia shombo
hahahaaaaaaaaaa!
madameeeeeeerrrrr!!!
 
Back
Top Bottom