gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
Hongera sana Ray C. Mnambeza mgahawa wa kwenu uko wapi? Mwanzo wa makubwa ni madogo. Kwa mafisadi wanaanzia pakuba. Mbuzi mee nyie. Hongera sana dada yetu Ray C kazi umeanza tuko nyuma yako tutakusapoti.
Kamq ungemjua the real ray c
Aliyekua na mtaa Kkoo plus maduka ya kutosha usingekuja kuleta mavi haya