PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

Hakuna sehemu wamesema Herpes ni bacterial infection..

Tunatumia dawa kama aciclovir tabs na cream/oint ambazo ni antiviral.

Hapo kusema antibiotics zinatumika umetupiga kamba.
 
Mkuu kwanza pole lakini hiyo ni STD sijui ulifanya uzinifu lini lakini tuache hayo
inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na maji maji na iwapo tu mtu unae shiriki nae tendo ana izo pia kwahiyo usipokuwa makini kwenye tendo au kutumia kinga kwa usalama ndio utokea hivo
Unaweza tumia kinga lakni kuwa makini unapovua pia

Unaweza tumia
tretracycline,
cefixime

lakini kwa matibabu zaidi nenda kituo cha afya kilicho karibu nawe
 
Γ‡c. Darmian
 
Sasa Dokta si ataomba aone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…