T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Madereva wengi sana wa matajiri ninaowajua huwa ni Waislamu.Kwahyo mpaka madereva wamejaza wa dini ile,hii awamu ni kiboko
Waislamu safi hawanywi pombe hivyo wako suitable kwa safari yoyote ya ghafla.
Wakristo hawalazimiki kutokunywa pombe, ili awe sober inabidi umtaarifu mapema kwamba muda fulani kuna safari. Jambo ambalo matajiri hawapendi, kujulikana ratiba zao.