PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

Madereva wengi wa gari za umma ni wazembe ila bara bara zina mambo mengi sana na pia ajali inayohusisha Truck mara nyingi dereva wa Truck ndio muhusika mkuu wa ajali ingawaje hivi vyuma vikiwa kwenye mwendokasi inakua ngumu kulikwepa Truck lililo kwenye mazingira hatarishi.
 
Je Mnataka kusema Ifuatiliwe Familia ya Dereva labda maisha yatabadilika na kuwa mazuri eti kwamba labda ameahidiwa donge nono kukwamisha Juhudi za Tamesco? Just Asking kama nilivyosikia hapa kwenye draft.
Ifuatiliwe kwa ajili ya nini? Je, wakilipwa bima na mafao mengine huoni kama maisha yanaweza kubadilika? Tusiwe na hisia mbaya ni ajali tu kutokana na uzembe wala siyo kujitoa muhanga!
 
Madereva wengi wa gari za umma ni wazembe ila bara bara zina mambo mengi sana na pia ajali inayohusisha Truck mara nyingi dereva wa Truck ndio muhusika mkuu wa ajali ingawaje hivi vyuma vikiwa kwenye mwendokasi inakua ngumu kulikwepa Truck lililo kwenye mazingira hatarishi.
Madereva wa serikali ni hopeless sana! Unakuta mtu anapishana na magari yuko speed ya zaidi ya 80 kph upumbavu mtupu. Na maboss nao wanakuwa pale mbele kama masanamu tu! Mimi kwangu huo ujinga huwa siuruhusu mpaka madereva wengine wananiona mkorofi, sisi tuliozoezwa speed haizidi 80km! Maana akienda zaidi tu ya 80km utasikia nimemwuliza huko unatafuta nini? Na ndiyo imekuwa salama yangu kwa muda mrefu!
 
Ukiwa bara barani utashangaa sana wanayapita magari kama wamebeba wagonjwa vile bila hata kuwa na tahadhari yeyote ya ajali wao kuyapita magari ya mizigo yalio kwenye msululu mrefu kwa speed kubwa kawaida tu.
 
1. Kwa umri wa huyo dereva unaweza sema kapata kazi juzi?
2. Unazungumzia dereva wa chini wakati boss si muislam
3. Acha udini na upumbav, kizibo wewe.
Hv unahis kaz ya udereva ina umri ?
 
Ukiwa bara barani utashangaa sana wanayapita magari kama wamebeba wagonjwa vile bila hata kuwa na tahadhari yeyote ya ajali wao kuyapita magari ya mizigo yalio kwenye msululu mrefu kwa speed kubwa kawaida tu.
Hivi vifo tunajitafutia wenyewe! Injinia amekufa kizembe sana! Hapo huwezi kumsingizia Mungu!
 
Mimi si mwislam ila situmii pombe wala sina chembechembe za udini
Madereva wengi sana wa matajiri ninaowajua huwa ni Waislamu.
Waislamu safi hawanywi pombe hivyo wako suitable kwa safari yoyote ya ghafla.

Wakristo hawalazimiki kutokunywa pombe, ili awe sober inabidi umtaarifu mapema kwamba muda fulani kuna safari. Jambo ambalo matajiri hawapendi, kujulikana ratiba zao.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO.

Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa mbona yeye hatajwi katika salamu za pole zinazotolewa.

Kwa wale mliokuwa mkiuliza jambo hilo nimewaleteeni picha na majina yake kama inavyoonyesha hapo katika salamu za pole kutoka Nishati.

View attachment 3303294
 
Hivi vifo tunajitafutia wenyewe! Injinia amekufa kizembe sana! Hapo huwezi kumsingizia Mungu!
Gari inaona nyuma kila kits inasema yenyewe lakini bado watu wanapata ajali za kizembe ukiwaripoti kwa trafiki jamaa anasema sina nguvu ya kusimamisha ZX bhana..
 
Marukufu neno hili
20250413_152647.jpg
 
Back
Top Bottom