Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #101
Mwenda Kwao siyo Mtoro.Mpaka tuwaseme ndipo waweke ya pamoja? Ila wakuu leo nimeamini hizi safari za kutoroka siyo sawa kabisa. Mke wa MD anasema alikuwa hajui kama amesafiri kwenda Bunda! Kwa nini Injinia naye alipanga kuroroka?