PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

Kwahyo mpaka madereva wamejaza wa dini ile,hii awamu ni kiboko
Madereva wengi sana wa matajiri ninaowajua huwa ni Waislamu.
Waislamu safi hawanywi pombe hivyo wako suitable kwa safari yoyote ya ghafla.

Wakristo hawalazimiki kutokunywa pombe, ili awe sober inabidi umtaarifu mapema kwamba muda fulani kuna safari. Jambo ambalo matajiri hawapendi, kujulikana ratiba zao.
 
Gone too soon! May they rest in eternal peace.
 
Je Mnataka kusema Ifuatiliwe Familia ya Dereva labda maisha yatabadilika na kuwa mazuri eti kwamba labda ameahidiwa donge nono kukwamisha Juhudi za Tamesco? Just Asking kama nilivyosikia hapa kwenye draft.
 
Mtu ana thamani sana kuliko Dhahabu
 
Una hoja,sema umeiweka ktk mtazamo wa kidini ili kutimiza agenda zako flani flani.
 
Mngoni na uislam wapi na wapi?
 
Je Mnataka kusema Ifuatiliwe Familia ya Dereva labda maisha yatabadilika na kuwa mazuri eti kwamba labda ameahidiwa donge nono kukwamisha Juhudi za Tamesco? Just Asking kama nilivyosikia hapa kwenye draft.
Umekosa hoja, jipange tena kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…