PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

Madereva wa magari ya erikali serikali acheni mwendo kasi,,,,, sio sifa!
 
1. Kwa umri wa huyo dereva unaweza sema kapata kazi juzi?
2. Unazungumzia dereva wa chini wakati boss si muislam
3. Acha udini na upumbav, kizibo wewe.
Watu wa aina hiyo ni kuwasamehe na kuwakemea kwa nguvu zote ndiyo wanapandikiza chuki za kidini
 
Poleni....

Ila wapunguze maspedd ...maana tunawapotezaga watu muhimu kiboya sana

Ova
 
Poleni....

Ila wapunguze maspedd ...maana tunawapotezaga watu muhimu kiboya sana

Ova
madereva wa serikali wanapaswa kuzingatia sana suala la mwendo wawapo barabarani. Kwa kuhakikisha wanachukua tahadhari na kuwa makini sana
 
Yaani hizi picha hata wasingeandika vyeo ungejua tu nani dereva hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…