Labda no reform no erection! Ile nyingine imeshafeli!No reforms, No election 2025.
Ifuatiliwe kwa ajili ya nini? Je, wakilipwa bima na mafao mengine huoni kama maisha yanaweza kubadilika? Tusiwe na hisia mbaya ni ajali tu kutokana na uzembe wala siyo kujitoa muhanga!Je Mnataka kusema Ifuatiliwe Familia ya Dereva labda maisha yatabadilika na kuwa mazuri eti kwamba labda ameahidiwa donge nono kukwamisha Juhudi za Tamesco? Just Asking kama nilivyosikia hapa kwenye draft.
Una roho ya uhasidi sana wewe, chuki itakuuwa aiseeKwahyo mpaka madereva wamejaza wa dini ile,hii awamu ni kiboko
Madereva wa serikali ni hopeless sana! Unakuta mtu anapishana na magari yuko speed ya zaidi ya 80 kph upumbavu mtupu. Na maboss nao wanakuwa pale mbele kama masanamu tu! Mimi kwangu huo ujinga huwa siuruhusu mpaka madereva wengine wananiona mkorofi, sisi tuliozoezwa speed haizidi 80km! Maana akienda zaidi tu ya 80km utasikia nimemwuliza huko unatafuta nini? Na ndiyo imekuwa salama yangu kwa muda mrefu!Madereva wengi wa gari za umma ni wazembe ila bara bara zina mambo mengi sana na pia ajali inayohusisha Truck mara nyingi dereva wa Truck ndio muhusika mkuu wa ajali ingawaje hivi vyuma vikiwa kwenye mwendokasi inakua ngumu kulikwepa Truck lililo kwenye mazingira hatarishi.
Anafikri Waislam wenyewe hawapaswi kupata nafasi serikalini upumbavu mtupu!Acha kutazama watu kwa udini hebu kuwa Mtanzania basi
Ukiwa bara barani utashangaa sana wanayapita magari kama wamebeba wagonjwa vile bila hata kuwa na tahadhari yeyote ya ajali wao kuyapita magari ya mizigo yalio kwenye msululu mrefu kwa speed kubwa kawaida tu.Madereva wa serikali ni hopeless sana! Unakuta mtu anapishana na magari yuko speed ya zaidi ya 80 kph upumbavu mtupu. Na maboss nao wanakuwa pale mbele kama masanamu tu! Mimi kwangu huo ujinga huwa siuruhusu mpaka madereva wengine wananiona mkorofi, sisi tuliozoezwa speed haizidi 80km! Maana akienda zaidi tu ya 80km utasikia nimemwuliza huko unatafuta nini? Na ndiyo imekuwa salama yangu kwa muda mrefu!
Hv unahis kaz ya udereva ina umri ?1. Kwa umri wa huyo dereva unaweza sema kapata kazi juzi?
2. Unazungumzia dereva wa chini wakati boss si muislam
3. Acha udini na upumbav, kizibo wewe.
Wanapaswa ila hupaswi kutumia dini kama sifa ya kupata ajiraAnafikri Waislam wenyewe hawapaswi kupata nafasi serikalini upumbavu mtupu!
Hivi vifo tunajitafutia wenyewe! Injinia amekufa kizembe sana! Hapo huwezi kumsingizia Mungu!Ukiwa bara barani utashangaa sana wanayapita magari kama wamebeba wagonjwa vile bila hata kuwa na tahadhari yeyote ya ajali wao kuyapita magari ya mizigo yalio kwenye msululu mrefu kwa speed kubwa kawaida tu.
Madereva wengi sana wa matajiri ninaowajua huwa ni Waislamu.
Waislamu safi hawanywi pombe hivyo wako suitable kwa safari yoyote ya ghafla.
Wakristo hawalazimiki kutokunywa pombe, ili awe sober inabidi umtaarifu mapema kwamba muda fulani kuna safari. Jambo ambalo matajiri hawapendi, kujulikana ratiba zao.
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO.
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa mbona yeye hatajwi katika salamu za pole zinazotolewa.
Kwa wale mliokuwa mkiuliza jambo hilo nimewaleteeni picha na majina yake kama inavyoonyesha hapo katika salamu za pole kutoka Nishati.
View attachment 3303294
Rais , wazir mkuu , naibu wazir mkuu , mawazir wengi sana pia na manaibu wao , mkuu wa majeshi etcCCM haina Udini
Endelea kupingana na uhalisiaAcha kutazama watu kwa udini hebu kuwa Mtanzania basi
Acha Ufala wewe unaogopaje Kuangalia picha ya gari mtoto wa kiumeIlikuwa ni ajali mbaya sana mpaka inatisha ukiangalia picha ya Gari.
Watz ndio maana tunapendana hakuna udini wala ukabila ona hapo Mkurugenzi Mkurya, mkristo na dereva ni Mngoni, mwisilamu. Huwezi ona combination hiyo Kenya🤣Kwahyo mpaka madereva wamejaza wa dini ile,hii awamu ni kiboko
Gari inaona nyuma kila kits inasema yenyewe lakini bado watu wanapata ajali za kizembe ukiwaripoti kwa trafiki jamaa anasema sina nguvu ya kusimamisha ZX bhana..Hivi vifo tunajitafutia wenyewe! Injinia amekufa kizembe sana! Hapo huwezi kumsingizia Mungu!
Wewe uliyekimbilia mahakamani ndiyo una weweseka! Unataka KUNAJISI UCHAGUZI ILI ?Endelea kuweweseka
Marukufu neno hili