Hakuna huyo, labda tungoje azaliwe
 
Inaonekana hapo PPP hakuna pesa.

Huyo tumbili kawekeza sana mitandaoni wapiga debe
 
Inaonekana hapo PPP hakuna pesa.

Huyo tumbili kawekeza sana mitandaoni wapiga debe
Mjinga tu huyo hajui kabisa vetting inavyofanyika kwa cheo chochote ambacho kitamfanya mtu awe jirani na Raisi full time

Vetting yake sio ya kitoto

Katibu mkuu wa CCM ni mtu anakuwa karibu na Raisi 24/7 waweza kaa wawili tu wakateta mambo yao secretly

Hawezi okotwa tu mtu mitandaoni
 
Nimeumia sana kuliona jina wala picha ya MWAASHAMBWA, PASCAL MAYALLA.
Kwakweli kwa jitihada wazifanyazo bado HAWAONEKANI basi sioni cha maana kwa kuonekana kwao hapa.
 
William LUKUVI anaweza kuwa SG mzuri kwa CCM.
Pamoja kuwa umri wake kuwa umesonga Lukuvi ana uzoefu mkubwa sana ndani ya chama kisiasa ,kiserikali nk na ana uwezo mkubwa sana na kichwa chake kiko vizuri pamoja na umri kusonga

Namkubali ila apewe kipindi kimoja tu cha ukatibu mkuu wa CCM kwa maoni yangu baada ya hapo astaafu apishe vijana
 
January
Mwigulu ila huyu hatoki kwenye mahesabu,
Infact Kuna nafasi ya katibu mkuu na ya makamu mwenyekiti,,,baada ya uchaguzi wasira atapumzika sababu ya umri
 
Ubunge aache?
Lukuvi Aache kabisa na asichukue fomu kabisa ya kugombea ubunge akichukua tu asipewe hawezi fia kwenye ubunge na yeye ajitathimini apishe vijana

Asichukue fomu tafadhali yasije mkuta ya waziri mkuu Malecela kupigwa chini na mtu darasa la saba kibajaji.

Lukuvi ubunge umri umeenda imetosha asijifanye mjanja ubunge aache kabisa

Ila ukatibu mkuu CCM nampendekeza kwa kipindi kimoja tu lakini kama ana mpango wa kugombea ubunge CCM itafute katibu mkuu mwingine na ubunge impige chini

Aage kabisa publically kuwa hagombei
 
Nenda kapambane acha maneno maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…