Kagulila na Shaka wanafaa zaidi kwaajili ya umri wao
 
Kwa maana hiyo walishaona kuwa Nchimbi ni kilaza au?
 
Kafulila anaifaa hiyo nafasi siku zote huwa anaongea kwa hoja akionekana anakifahamu kwa kina kinachozungumzwa.

Huyo Mwakyembe nadhani ni muda wa kupangiwa kazi nyingine zisizomhitaji kuonekana mbele ya macho ya watu.

Huyo mzenji bado hajakomaa kwa kazi ya wazi yenye kuhitaji utulivu wa kujibu maswali na uwezo wa kutanguliza busara na hekima wakati wa kuzinadi sera na itikadi za chama.
 
Mimi naona Hawa vijana Kwa maana ya Shaka na Kafulila wanafaa sana
 
Anaye faa sana sanaaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kwa sasa ni Balozi Pole Pole
 
Naamini Balozi Polepole anafanya vizuri zaidi CCM kwa wakati huu, kuliko wote
 
wampe tu kafulia ila muda c mrefu naye atafulia huwezitetea wezi na majambazi ukashinda
 
1. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM hasa wa kupambana na Upinzani kwa hoja lakini mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kama chama dola kuelekea Oct 2025.
Chama kilishafitinika pote hiki!
Tulikupenda sana ccm ila sasa umetutoka mno!
 
Makala amesema hagombei ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…